Hebu tufundane leo......

Hebu tufundane leo......

sa preta we ni mbaya au mzuri kivyote...kitandani na kimaumbo ili nijue kama theory yako inaendana

ha!.....
we sema kama thread imekubamba au lah......huko kote kwa nini.....

 
unataka wake zetu watuue jamani , lol mzee mmoja alifia guest house kifuani kwa nyumba ndoto kisa hayo maujanja, mzee anakisukari na bibie akazisha sukari, sukari wacha mzee afe akiwa kifuani na jombaa amesimama ha ha ha anyway , ulichosema ni kweli
 
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......



Wenye macho na wasome, well written! Take 5:biggrin:!!
 
:A S-omg:Mmmmh sikujua kama na wewe ni Kungwi! wape masomoz
 
Yaani unakuwa kwenye mahusiano kwa ajili ya kumplease mtu? wonders shall never end.

Mtoa mada nadhani huu ni mwendelezo wa upotoshaji kuhusu mapenzi.

Haiyumkini ungewafunda wenzio, wake na waume kwa mapenzi ni unique relationship kama ambavyo watu ni unique. hivyo kuwa mzuri kitandani pia ni moja ya factors na sio kila kitu kwenye mapenzi.

Wangapi unaowajua (kama ulivyoeleza unawajua) ni wazuri kitandani na bado mapenzi yanawashinda?

Katika smo la kufunda, mwalimu mzuri atakuambia usikopi mahusiano ya ndugu, jamaa, rafiki au jirani.

Aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.
 
:A S-omg:Mmmmh sikujua kama na wewe ni Kungwi! wape masomoz
In fact, she sounds like a good lady to practice games with me, sijui nikimuomba kamchezo kaurafiki atakubali...Yani nampigia mahesabu ya kweli kweli hapa nilipo 😛oa
 
Preta, unataka zawad gan mamaaa? Sema chochote
 
Last edited by a moderator:
Preta Sidhani kama hiyo ni sababu
Unaweza kuwa mzuri sana on bed umefundwa unyago wote utaalam ulipitiliza viwango mpaka mwenyewe anakubali ooops sijawahi fanyiwa hivi na mtu yoyote hapa duniani..
Unakuwa na utaalam wa kizungu na wa kibongopia lakini baadhi ya hawa wenzetu
Sometimez jicho likiona linaanza kujenga picha kisha kujikuta wanataka kujaribu
Mie nadhani ni tamaa za mwili..you can do each and everything lakini akitaka kufanya research sehemu nyingine atafanya tu..
Na akitaka kukuheshimu naam ataamua kutulia..
 
Last edited by a moderator:
Hivi hebu naomba kuuliza.......

Eti Preta hapa ni mko kwenye kitchen Party au MMU?

Nataka nijue afu nichangie.....

Ila Angalizo tu kwenu kina dada: Mapenzi ni Uchafu!!
 
Last edited by a moderator:
you can do each and everything lakini akitaka kufanya research sehemu nyingine atafanya tu..
Na akitaka kukuheshimu naam ataamua kutulia..
Kufanya reasearch ni kawaida, lakini ukisha kutana na kiuno kama cha Preta....Inabidi wakatoe tarifa kituo cha police kama mme wa flani kapotea, kumbe Preta kamweka ndani anamkatia mauno :biggrin:
 
Yaani unakuwa kwenye mahusiano kwa ajili ya kumplease mtu? wonders shall never end.

Mtoa mada nadhani huu ni mwendelezo wa upotoshaji kuhusu mapenzi.

Haiyumkini ungewafunda wenzio, wake na waume kwa mapenzi ni unique relationship kama ambavyo watu ni unique. hivyo kuwa mzuri kitandani pia ni moja ya factors na sio kila kitu kwenye mapenzi.

Wangapi unaowajua (kama ulivyoeleza unawajua) ni wazuri kitandani na bado mapenzi yanawashinda?

Katika smo la kufunda, mwalimu mzuri atakuambia usikopi mahusiano ya ndugu, jamaa, rafiki au jirani.

Aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.

Preta Sidhani kama hiyo ni sababu
Unaweza kuwa mzuri sana on bed umefundwa unyago wote utaalam ulipitiliza viwango mpaka mwenyewe anakubali ooops sijawahi fanyiwa hivi na mtu yoyote hapa duniani..
Unakuwa na utaalam wa kizungu na wa kibongopia lakini baadhi ya hawa wenzetu
Sometimez jicho likiona linaanza kujenga picha kisha kujikuta wanataka kujaribu
Mie nadhani ni tamaa za mwili..you can do each and everything lakini akitaka kufanya research sehemu nyingine atafanya tu..
Na akitaka kukuheshimu naam ataamua kutulia..

dears... FREEma Agyeman na FirstLady1.......ninakubaliana na nyie sawa kwa mawazo yenu.....
swala zima la kufunda lina upana mkubwa sana.....hii hapa ni ni moja ya mia......
kama umenisoma kuanzia mwanzo....thread hii inajibu thread.......
na isitoshe....bado najipanga kuja kwa upande wa wanaume......
 
Last edited by a moderator:
dears... FREEma Agyeman na FirstLady1.......ninakubaliana na nyie sawa kwa mawazo yenu.....
swala zima la kufunda lina upana mkubwa sana.....hii hapa ni ni moja ya mia......
kama umenisoma kuanzia mwanzo....thread hii inajibu thread.......
na isitoshe...
.bado najipanga kuja kwa upande wa wanaume......
Ukifika hapo kwa wanaume nadhani itabidi nikupokee kijiti. Vijana siku hizi wananiuzi sana bana... wamekuwa wazembe mpaka vibinti vinafanyana vyenyewe kwa vyenyewe...Khaa!
 
Ningeshangaa sana kama nisingewaona nyie vijana wawili hapa. Machale yananacheza nyie mtakuwa na uhusiano na Ilboru Alumni.

Asee meku Asprin vipi asee.....
Hapa tupo chicken party asee....hope na wewe unapendamo nyama ya kuku...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom