Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
....lol, si ndio wanadamu tulivyo bana? ..kuna wengine wakishamaliza dhiki ya 'usingizi' hata kutandika wajionea shida....
Godoro ni godoro tu, halijalishi ni la sponji. Usufi au sipringi....ubaya au uzuri wake wategemeana na dhiki yako.
Kama kumbikumbi, may this last forever inshaallah.
....lol, Kaizer bana,.....wewe umeni quote ndio nikakujibu bana....othrwise mie ni msomaji tu tangu niweke 'godoro' langu jana....
Mashallah, ....kheir Inshaallah.
Yaani MJ1 Unanichekesha sana...wachaga siku hizi wameshindikana., maana marafiki zangu kila ninayemkuta ana GF wa kichagga na wanamwaga umbea kwamba wako njema sana...sasa sijui hapa unataak kutuambiaje..halafu Mbu anasoma huu uzi kuna mahali nimeona amecomment:juggle:
Ndo nimeona MwanajamiiOne anambwela hapa nikamkumbusha just in case..si najua masoulmate tena...hahahahaha mi langu bado nimelalia asee bado ni mapema mno kuliachia...kipupwe hiki
Kama kumbikumbi, may this last forever inshaallah.
....lol, Kaizer bana,.....wewe umeni quote ndio nikakujibu bana....othrwise mie ni msomaji tu tangu niweke 'godoro' langu jana....
Ndo nimeona MwanajamiiOne anambwela hapa nikamkumbusha just in case..si najua masoulmate tena...hahahahaha mi langu bado nimelalia asee bado ni mapema mno kuliachia...kipupwe hiki
....lol, nalalia mkeka mie...."a bed is not everything to mbu"
Mamito........... huu uzi mpenzi umenifanya niwe bubu, naibiwa changu sasa hivi hapa nkiona mwe!!
Mwenyewe alishazoeshwa vya sahani za majani ya mgomba haya hapa anakutana na zile za makaratasi za kizungu ntapona mweli?! Ngoja niwe mpole tu
Mzima lakini mwali?
Mnaonaje kutozingatia anayofundisha mleta mada kwenye uzi huu...
Cheki na RR kama ameshaupdate list ya wanachama.....πhoto:enheeee.......:shock:
Ewaaaaa!Toooooooop!:biggrin:
Ukiondoa bible nlosoma leo asubuhi, hakuna neno bora jingine zaidi ya hili aliloandika gfsonwin .... anafaa nimtambulishe mheshimiwa cheaman?Hommie umeona hiyo useful posti kumbe!:yawn:
FYI, Moskwito wa JF aka Mbu ni mchaga wa Bomang'ombe.Yaani MJ1 Unanichekesha sana...wachaga siku hizi wameshindikana., maana marafiki zangu kila ninayemkuta ana GF wa kichagga na wanamwaga umbea kwamba wako njema sana...sasa sijui hapa unataak kutuambiaje..halafu Mbu anasoma huu uzi kuna mahali nimeona amecomment:juggle:
Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?
Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!
Naona umeamua kuwadanganya wenzako LIVE!Yaani katika siku ulizoniangusha Preta ni leo kha??? Sex?? Ha ha ha ha wanchekesha source FF.
Preta hakuna mwanaume wala mwanamke siku hizi ndugu yangu ni kuomba Mungu tu atusaidie
Hata ujitume vipi huko 6x6 hawezi kuacha kuwa na mpango wa kando asikwambie mtu
Tena mie ndo kabisa mambo ya 6x6 ndo siyataki kabisa maana unajituuuuuma bure tu
Preta nitaongea na wewe chemba
Whispering......... We havent reach to that part yet!.......
hahahahahhahahhhhh............. FA bana mi hata sijui inaendaje mradi najua tu kuwa enjoying is the ultimate important than kuwaza nitamshika vipi. .............Mbu mwenyewe huyu had ninunue X-pell alfu 6!!
Orayt..... ngoja kwanza nimkabidhi cheti kabisa ili ntakapomtabulisha umtambue kwa matendo:eyebrows::eyebrows:heby fanya ASAP....πoa
Khaaaa!!Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?
Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!