Wanasayansi ndiyo tatizo mkuu. Hii imetokana na kutokuwa na uzoefu(inexperience) na uelewa juu ya ugonjwa wa COVID-19 kwa sababu wao walikuwa wanafanyia kazi findings ambazo zimefanywa na wanaume wenzao(Wazungu).Kwamba vipimo ndio tatizo au wanasayansi ndio wenye tatizo?
Hawa kuwa disproove ni rahisi sanaHao waliochukuwa sample za mapapai hawana utaalam ndiyo sababu tunasema huenda sample zilikuwa contaminated. Sasa unatumiaje hiyo hoja kwa sample zinachukuliwa na wataalam waliosomea kazi yao na wenye uzoefu, ondoa huo utetezi wako
Asante sana, ubarikiwe hekima zaidi na zaidi, umesema bang on points with extra.Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu.
Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini.
Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea maelezo.
1 vipimo ni Specific kwaajili ya kupima virus ama bacteria, hivyo huwezi kupima sample tofauti DNA/RNA hivyo basi hakiwezi kupima papai, lazima kitaleta majibu tofauti.!!
Hoja hii haina mashoka kama ni hivo kwa nini vipimo hivi vimetoa majibu ya positive na negative wakati sample sio sahihi??
Je wataalam wetu walijaribu kuvifanyia uchunguzi wowote hivi vifaa pindi vilipokaja kabla hawajaanza kuvitumia??
Kama hawakufanya kwanini waliviamini moja kwa moja, taaluma yao iko wapi hapi??
2 wataalam wengine wakaja na hoja kuwa majibu yanaweza kuwa positive kwasababu sample zinaweza kuwa zinamaambukizi (Contaminated) ama wakati wa kuchukua sample ama wakati wa upimaji hivyo kipimo kitatoa majibu Positive.!!
Okay.
Sasa kama ni hivi hamuoni hapo kuna uwezekano kuna watu ambao ni negative hawana maambukizi Ila kwasababu ya uzembe/ makosa wakati wa kuchukua sample ama uzembe wakati wa upimaji wakaiambukiza hiyo sample na kumpa mtu majibu ya positive kumbe Hana maambukizi?? Mtu unapewa ugonjwa ilihali huumwi.
Alafu hivi kama hiyo sample sio sahihi na imetoa positive kwasababu ipo Contaminated mbona sample za nanasi na kondoo zimetoa majibu negative??
Kwanini iwe negative wakati sample sio sahihi na haipo contaminated??
Hili limekaaje sasa wataalam? Inamaana kama inangekuwa haipo contaminated si ingetoa majibu kuwa haitambuliki (sample sio sahihi) kwanini Sasa ikatoa negative??
Halafu Inamaana team ya watafiti wa Rais hawakuwa na uelewa kabisaa kiasi kwamba wakazichukua sample tu ovyo ovyo bila ya umakini wowote na kuzipeleka tu zikapimwe hadi zinapata maambukizi??
Siamini kama ni wajinga kiasi hiki.
3 Wengine wanasema kuwa mh anawadharau wataalam, hana shukurani,anadanganya umma, anataka kuficha wagonjwa n.k.
Hii hoja haina mashiko.
Inakuwaje madaktari na wataalam wabobezi kabisa kwenye utafiti na vipimo unaletewa sample ya papai na fenesi unaambia ni ya binadamu halafu unakubali na kwenda kuipima??
Hii inatoa picha kuwa wataalam wetu wanalipua lipua tu na hawako makini na kazi yao, kama wako makini hili linawezekanaje??
Hamuoni hapa kunatakiwa kufanyaka uchunguzi wa kina kama Rais alivyotilia shaka??
Kumbe sample zinakuwa contaminated hapo hapo maabara na kutupa majibu ya positive kwanini waachwe Sasa??.
Watanzania wenzangu Mimi kwa maoni yangu mh Rais anahoja ya msingi sana tusimpuuze, hawa wataalam wetu ndio wanatudanganya mh Rais yuko sahihi..
Kuna sehemu haiko sawa katika hili.
Kama una majibu ya maswali hayo uje hapa ulete ufafanuzi.
Walisema lini? lete tuone hayo maandishi au video walizokuwa wanasema hivyo.Kabla hata ugonjwa haujaja hapa bongo, madaktari kutoka nje walikua wakitoa rai kua mgonjwa wa corona akigusa kitu chochote lazima aache virus.
Kwamba wanasiasa wanauzoefu kitabibu kiasi cha ku-criticize wanasayansi?Wanasayansi ndiyo tatizo mkuu. Hii imetokana na kutokuwa na uzoefu(inexperience) na uelewa juu ya ugonjwa wa COVID-19 kwa sababu wao walikuwa wanafanyia kazi findings ambazo zimefanywa na wanaume wenzao(Wazungu).
Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu.
Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini.
Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea maelezo.
1 vipimo ni Specific kwaajili ya kupima virus ama bacteria, hivyo huwezi kupima sample tofauti DNA/RNA hivyo basi hakiwezi kupima papai, lazima kitaleta majibu tofauti.!!
Hoja hii haina mashoka kama ni hivo kwa nini vipimo hivi vimetoa majibu ya positive na negative wakati sample sio sahihi??
Je wataalam wetu walijaribu kuvifanyia uchunguzi wowote hivi vifaa pindi vilipokaja kabla hawajaanza kuvitumia??
Kama hawakufanya kwanini waliviamini moja kwa moja, taaluma yao iko wapi hapi??
2 wataalam wengine wakaja na hoja kuwa majibu yanaweza kuwa positive kwasababu sample zinaweza kuwa zinamaambukizi (Contaminated) ama wakati wa kuchukua sample ama wakati wa upimaji hivyo kipimo kitatoa majibu Positive.!!
Okay.
Sasa kama ni hivi hamuoni hapo kuna uwezekano kuna watu ambao ni negative hawana maambukizi Ila kwasababu ya uzembe/ makosa wakati wa kuchukua sample ama uzembe wakati wa upimaji wakaiambukiza hiyo sample na kumpa mtu majibu ya positive kumbe Hana maambukizi?? Mtu unapewa ugonjwa ilihali huumwi.
Alafu hivi kama hiyo sample sio sahihi na imetoa positive kwasababu ipo Contaminated mbona sample za nanasi na kondoo zimetoa majibu negative??
Kwanini iwe negative wakati sample sio sahihi na haipo contaminated??
Hili limekaaje sasa wataalam? Inamaana kama inangekuwa haipo contaminated si ingetoa majibu kuwa haitambuliki (sample sio sahihi) kwanini Sasa ikatoa negative??
Halafu Inamaana team ya watafiti wa Rais hawakuwa na uelewa kabisaa kiasi kwamba wakazichukua sample tu ovyo ovyo bila ya umakini wowote na kuzipeleka tu zikapimwe hadi zinapata maambukizi??
Siamini kama ni wajinga kiasi hiki.
3 Wengine wanasema kuwa mh anawadharau wataalam, hana shukurani,anadanganya umma, anataka kuficha wagonjwa n.k.
Hii hoja haina mashiko.
Inakuwaje madaktari na wataalam wabobezi kabisa kwenye utafiti na vipimo unaletewa sample ya papai na fenesi unaambia ni ya binadamu halafu unakubali na kwenda kuipima??
Hii inatoa picha kuwa wataalam wetu wanalipua lipua tu na hawako makini na kazi yao, kama wako makini hili linawezekanaje??
Hamuoni hapa kunatakiwa kufanyaka uchunguzi wa kina kama Rais alivyotilia shaka??
Kumbe sample zinakuwa contaminated hapo hapo maabara na kutupa majibu ya positive kwanini waachwe Sasa??.
Watanzania wenzangu Mimi kwa maoni yangu mh Rais anahoja ya msingi sana tusimpuuze, hawa wataalam wetu ndio wanatudanganya mh Rais yuko sahihi..
Kuna sehemu haiko sawa katika hili.
Kama una majibu ya maswali hayo uje hapa ulete ufafanuzi.
Walisema lini? lete tuone hayo maandishi au video walizokuwa wanasema hivyo.
Kwanini wanasayansi wa wetu wasingefanya utafiti kuhusu hilo jambo mpaka wasubiri vidume vifanye na wao ndiyo waegemee humo humo. Wanasayansi wetu ni tatizo kubwa sana. Uelewa wao ni mdogo sana na hauendani na ukubwa wa matokeo yaliyo kwenye mavyeti yao na kwa namna wanavyovimba mtaani.
HahahahahhhKwamba wanasiasa wanauzoefu kitabibu kiasi cha ku-criticize wanasayansi?
Hahaha put a joke a side
Hivi huyo mtabibu aliyepondwa kwa kutoa majibu hayo yaliyotokana na papai akisema anataka kujiridhisha hivyo awekewe camera ambazo zitarekodi kila tukio kisha watole mguu kwa mguu hadi shambani achukie sample za mapapai kisha azifanyie vipimo.
Hivi unafikiri baada ya kufanyiwa test hilo papai jibu litalopatikana hapo litamdharirisha nani?
Nipo atumishi hewa walondolewa kwa mbwembwe za kutosha,ajira sasa hivi ni chache,ikawaje wawepo watumishi fake?Huu uwajibikaji na uchunguzi unatakiwa upanuliwe na isiwe maabara pekee.Tuanzie State House, TAMISEMI,Wizara ya Afya,Laboratory Personnel, Procurement Departments,msd,Supplier wa Test Kits nk.Mkuu umejiuliza maswali mazuri sana, ni kweli kwa tanzania kila kitu kipo , yaani wataalamu uchwara na orona pia ipo.
Mashaka zaidi ni kwamba kama hao waliopima hizo sample ndio walio bora na wanafanya kazi katika taasisi ya raisi basi mashaka ni makubwa zaidi hata kwa usalama wake.
Hata hivyo ndio maana tunaona viongozi wengi sana wakiondoka nchini na kwenda kutibia nje ya nchi sababu ya hali ya uzembe uzembe kama hii.
pande zote zina hoja ya msingi kabisa ya kulaumiwa mpaka raisi mwenyewe maana wale ni watendaji wake.