Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
- Thread starter
- #41
Nadhani mkuu wewe ndio una tatizo kwa kutaka wafanye unachokitaka wewe tu kuwa ndio kiwe sasa,Hakuna point yoyote hapo uchafu tu.
Ujumla alitakiwa achukue sample za mtu yeyote zikapimwe kwa siri hata mara mbili tatu aone ajibu yakoje.
Alafu achukue sample zile zipelekwe mashine zingine ayo itoe majibu.
Ndipo uwe na maajibu.
Hizo machine ni maalum kwa kupimi corona na si vinginevyo. Unafikiri uchukue mavi unadhani inakupa maji gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hupingwa kwa hoja na si porojo na viroja.