chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Hawachafui mazingira makusudi, ni consumption yao ndio inafanya yachafukeNa kwanini uyachafue mazingira hata wabakie watu kumi dunia ikichafuliwa basi haiwezi kuwa sehemu salama
Hawachafui mazingira makusudi, ni consumption yao ndio inafanya yachafukeNa kwanini uyachafue mazingira hata wabakie watu kumi dunia ikichafuliwa basi haiwezi kuwa sehemu salama
Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Shida sio watu wanataka tu kuzalishana tu hovyo hovyo , bali ni shida za genye huwa zinazidi akiliWakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu. Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya kuishi.
Nilimuunga sana Ngosha kwa hili."Nanukuu"
Hata India Na China Ni Matajiri Kwa Kuzaana
Waziri Wa Afya Kwenye Utawala Wangu Sitaki Kusikia Kupanga Uzazi, Fyatueni Watoto Elimu Ni Bure.
Manyonyo Mnayo Sasa Mnakwama Wapi.
By Jiwe
Haha sure mkuu, huku watoto wa 2000 wana watoto 2+ kuna kijiji kinaitwa Kisumba, kuna watoto ni utitiri. Watu wanazaana mbaya.Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
Kuna mzee mmoja alizaa mtoto mmoja tu, na akajitahidi kumpatie elimu ya uhakika huko ng'ambo; mtoto alipomaliza elimu yake ya juu-PhD akarudi nyumbani, baada ya muda fulani kupita mtoto akaugua na hatimaye Mungu akampenda zaidi; hapo mzee alichanganyikiwa, hajui afanye nini. Kwa ujumbe huo,ukiamua kuzaa au kutokuzaa kabisa jiandae kwa lolote ukiwa mzee.
Ndo maana Waarabu wanasema baada ya miaka 50 ijayo, kuna asilimia kubwa Uingereza itakuwa dola yao..
Na inaendelea kweli.Uzazi umepungua mijini, vijijini na mashambani, kazi iendelee.
Daah, nilitembelea matai, kateka, motochini, kizombwe, kisungamile, msanzi, mambwe, kaseshya na vingine kadhaa aisee hali ni mbaya boss.Haha sure mkuu, huku watoto wa 2000 wana watoto 2+ kuna kijiji kinaitwa Kisumba, kuna watoto ni utitiri. Watu wanazaana mbaya.
Nako mambo ni hayahaya?? Hapo nilipita nikielekea katavi sikuwahi kukaa hata siku mbili.Ungefika wilaya ya Nkasi mkoa huo huo wa Rukwa ungechoka kbsa
Hli swal la kuza watoto wchache lipo huko hapa tz tuzae tu m natgemea mwaka ujao niongeze mtoto wa tatu nipate kakiumeWakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu. Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya kuishi.
Watu wanazaaje hovyo hovyo kama nguruwe. Huu ni ukosefu wa nidhamu na kutokustaarabikaUkitaka kujua kuna watu wamezaana bila nidhamu njoo kanda ya ziwa!!! Halafu kuna MTU aliwambia " Fyatueni"