sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Wakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu. Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya kuishi.