Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,422
- 2,312
Daah nimecheka sana boss. Ila ukweli nilistaajabu sana kwa siku nilizokaa kule.wacha tutafunane tuuuu, ndo starehe yetu masikini, hela hatuna hata kufanyana tusifanyane??

Aisee๐๐๐Kule Kalambo mbona mbali sana yaani mpaka upande MAJINJA na vile vi-HIACE vya NGALINDA,,,, pitia hapoa TANDIKA AZIMIO uone mtoto kambeba mtoto waliyezaa na mtoto mwenziwe...
Nasikia mpaka ikapewa jina " .... Ya watotto!" Starehe yao kuu ni ngono na gongoHuu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Serikali kupitia rais alietangulia, ilihimiza watu kuzaa, na agizo hilo halijatenguliwa.Wakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu.
Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya kuishi.
Uzazi umepungua mijini, vijijini na mashambani, kazi iendelee.Huu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
๐๐พ-๐๐พ-๐๐พ for your avatar picture!.Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi', Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia...www.jamiiforums.com
Nimesoma comments lakin naona wengi wanongea kwa kijifurahisha ila nimeelewa unachokizungumza. Watu wanachukulia Ni masihara ila kuzaa bila mpangilia ni shida kwa nchi hasahasa Kama hutaweza kuwahudumia. Unakuta unazaa watoto watano au saba na hauna uwezo wa kuwahudumia, watoto wanalia njaa wakati wote au vibaya zaidi wanaranda mitaani wakiomba omba unadhani hii ni haki. Huu ni ukiukwaji wa haki za watoto. Au wengine wana zaa na kuwatupa chooni au jalalani au kuwaacha tu vituo vya watoto yatima, Sasa ndo Nini.Wakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu.
Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya ku
Kwa akili yako wote tukimaliza mapori ikolojia itakuwaje?
Mkuu ni hatari sana aisee, yani kuna uwanja wa mpira wanaita "motochini" siku ya match watoto ni wengi kuliko watu wazima na vijana pale uwanjani.Nasikia mpaka ikapewa jina " .... Ya watotto!" Starehe yao kuu ni ngono na gongo
Na inaendelea kweli.Uzazi umepungua mijini, vijijini na mashambani, kazi iendelee.
sio kazi yako kulinda ecolojia.
Unacha Kwenda Kufanya Kazi Mjini uende ukaishi Huko Porini. Tunabanana Hapa Hapa MjiniTanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
Wakuu sio mbaya tukipashana kidogo, unajua sasa hivi maisha ni magumu sana, na kazi zipo chache unaweza kuona wamachinga walivojazana mijini.
Wewe umepanga mjini unategemea kuajiliwa na mtu bado unaendelea kuzaa watoto, hivi unadhani hao watoto watakusaidia au umewaleta ili wawe watumwa wa Illuminati Cabal? Maana viwanda vingi ni vya hao Illuminati na ndo wenye ajira.
Biashara nyingi zina collapse kutokana na mifumo ya fedha kuwa migumu, benki riba kubwa na wateja wachache.
Kilimo na chenyewe kigumu, hadi utumie mbolea ambayo nayo haikamatiki bei bado mbegu zipo juu. Ardhi ni hii hii haipanuki.
Maskini ni wengi sana na wanazaana kinoma, faraja yao ya ugumu wa maisha nibkwenye ngono, wanapikia kuni hivyo wanakata miti kinoma afu hawana akili na kupanda miti. Kutokana na ukataji wa miti maji pia yanakauka, mito iliyokuwa inatiririsha maji mwaka mzima inakauka, vyakula vimepungua sana kuwalisha binadamu na wanyama.
Kila anayezaliwa naye anahitaji kuwa na nyumba yake na kuendelea kuzaa. May be hii ndo sababu ya Illuminati kuwa 'so much obsessed with the population'. Wametuleta Condoms lakini watu hawatumii, Contraceptive bado haisaidii, Vasectomy nayo wanaume hawataki, Family planning nayo haisaidii.
Wakati dunia wanachanganyikiwa na ongezeko la watu kuna mtu anafurahia amezalisha mtoto anajisifia yeye ni mwanaume, nao wanawake ugumu wa maisha wanajipeleka kwa wanaume ili kupata mteremko wa maisha huko wanaishia kupachikwa mimba na kuzalishwa.
Uzazi bila shaka sio wa Mungu kuna kosa lilifanyika la creation, dunia haitoshi kuishi ndo maana pia wakubwa wametuleta viambata kwenye lishe na vinywaji ili kuzaa watoto walemavu ili mkome kuzaa hovyo.
Kuzaa sana ni kuongeza shida ya kuishi.
Akili ndogo unazani hili bango ni kwa ajili ya watanzania tu, kwa hiyo badala ya kuchukua tahadhari unataka tuwe wengi iwe tabu hapa nchini.Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
Hizi ndio akili za jiwe !!!Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina