Hebu Tia neno kwenye hii picha

Hebu Tia neno kwenye hii picha

Hao ni baba na mama wa msichana anaeolewa, na baba na mama wa mwanaume anaeoa. Kagame na mkewe Jeanette ndo wazazi wa msichana Ange alieolewa.
Hebu fafanua vizuri kwa hiyo kaka na dada wanaoana ?
 
Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage[emoji39][emoji39]!...sasa huyo akukumbatie[emoji126][emoji126][emoji126]
Aseee

Smart guy
 
Back
Top Bottom