Hebu Tia neno kwenye hii picha

sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Messages
2,418
Points
2,000
sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2014
2,418 2,000
..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!
Mbona me mwenyewe ni mrefu na mweusi tii , sema na matege ya kurudi nyuma , sijui upo tayari
 
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2019
Messages
961
Points
1,000
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2019
961 1,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,689
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,689 2,000
Hahahahahaah! Umetisha saana aisee.
Inabidi siku ya kurudi Rwanda nikupeleke kabisa ukajichagulie mwenyewe!
..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,257
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,257 2,000
Hahahahahaah! Umetisha saana aisee.
Inabidi siku ya kurudi Rwanda nikupeleke kabisa ukajichagulie mwenyewe!

πŸ˜…πŸ˜…..Nilishapanga Dec naenda Rwanda😊😊...ss nielekeze nifikie wapi😊😊..ila Kahama wamejaa balaa...ngoja niwadangie tu sina namnaaaaπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,194
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,194 2,000
The refu

The family

Wafupi kuna vitu wanakosa
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
9,145
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
9,145 2,000
Umesema tutie neno.....
watu warefu wanakaa nchi ndogo...
 
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,989
Points
2,000
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,989 2,000
Rwandan product ila huyu diluted with Tz
25552405_2011776155730192_2851967288481012961_n-jpeg.1149632
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
4,985
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
4,985 2,000
Huyu jamaa mwenye mke, familia ya pk itakuwa ina mcontrol kama mbuzi, yaani huyu jamaa na familia yake watakuwa wanaulinzi kutoka kwenye vikosi vya ujasusi vya pk... Hahahaha
 
Ing'ang'a

Ing'ang'a

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,628
Points
2,000
Ing'ang'a

Ing'ang'a

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,628 2,000
Familia yenye watu Warefu zaidi Duniani.
 
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
5,324
Points
2,000
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
5,324 2,000
Nnnyoko hebu njoo
Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage!...sasa huyo akukumbatie
 

Forum statistics

Threads 1,335,198
Members 512,270
Posts 32,498,795
Top