HEBU SOMENI hii habari Mfumko wa Bei dola itakuwa 2000Tsh

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Jamani kutakuwa na tatizo la Mafuta shell kuanzia tarehe 26 up to 4 days so chazeni mafuta ya kutosha kwenye magari yenu,pia kutakuwa na tatizo la network kwa upande wa luku pia kuweni makini!
Lingine ni kuhusu dola ya marekani inapanda mpaka 2000 Tsh maana nchi inajiendea tu wazee poleni kwa information hii muhimu!!!!!!!
 
Usitudanganye, mnataka tununue zaidi ili mkusanye kodi kwa ajili ya kulipa mishahara, sirikali yenu kwishine, mtanyoosha maelezomwaka huu ndiyo maana JK kakimbia kwenda kula bataaaaaaa!!!!! ulaya kazi mnayo
 
ujui ata dollar rate yake ni ngap!?
1usd ==2200- 2300 Tsh kwa sasa !! ss hiyo itakuwa imepanda au imeshuka?
 
Back
Top Bottom