Hebu soma ufunguke - mji huu unatisha sasa

Hebu soma ufunguke - mji huu unatisha sasa

duh.... mabwaku... mie nilishasema hata kama utanitajia jina lA bibi mzaa babu yangu sitokaa nikameet na stranger hata siku moja! matukio kama haya huwa yanatokea sana... mtu sikufahamu nifunge tu safari kuja kuonana na wewe kisa unanifahamu jina.. ninakoishi / kusoma / kufanyia kazi n.k. never happen na hata kama utajitaja jina ila namba sinayo mpaka nijiridhoshe vya kutosha either kwa sauti ya mtu husika. . WANADAMU WAMEKUWA ZAIDI YA WANYAMA SIKU HIZI!!!!!
 
hii ilitoka gazeti gani la shigongo? naona ilinipita hii...
 
Lakini pia kwa nini mtu utembee na kadi zako zote za benk, kama unazo mbili au zaidi tembea na moja zingine acha nyumbani. Yaani kuna watu wallet zao zimejaa kadi na vitambulisho vyote alivyonavyo duniani hapa; e.g kadi zote za benki, cha ajira, bima ya afya, leseni ya gari( mpya na ya zamani), kadi ya kupigia kura, cha shule/chuo hata kama alishamalisha chuo, ma- business cards kibao, mwisho kabisa unakuta ana eflu mbili mia saba kwenye hilo wallet.

Dah, yaani nimecheka usiku kucha hata shemeji(wifi) yako sikumgusa kabisa!
 
Tatizo na nyinyi wapolipoli mnaingia kwakasi sana mjini hapa mpaka hajulikani nani mzawa nani mchunga mbuzi bakini makwenu jama daa ime jaa

Ndugu unajua unachokisema?
unadhani kuzaliwa mjini ndo ujanja, unaweza kuzaliwa mjini na ukawa mshamba vilevile kama wewe ulivyo!
na kwa taarifa yako wakuja baadae ndo wanakuwa wajanja wa town nyie wazawa mnabaki na ujanja wa ghahawa, kashata na bao!
Hata wewe unaweza patwa na tatizo kama hilo!
 
Duh pole zake. Kwa nionavyo mm kati ya hao aliokua nao achunguze ni nani anajua alimpeleka mtoto hosputal, and alimwambia nani anaenda chuo. Hizo taarifa walizipata mwa mtu wake wa karibu
 
Hili dongo limeiniingia. Sasa akiba zenyewe za kudunduliza. Unaingia crdb unatoa buku kumi, nmb unatoa buku tano. Unamalizia kcb na buku kumi unanunua gauni la mtumba fasta.

Afu na kitamvulisho cha chuo kimekatwa nusu ngoja nijazie kwa.wallet kuna gap moja
Lakini pia kwa nini mtu utembee na kadi zako zote za benk, kama unazo mbili au zaidi tembea na moja zingine acha nyumbani. Yaani kuna watu wallet zao zimejaa kadi na vitambulisho vyote alivyonavyo duniani hapa; e.g kadi zote za benki, cha ajira, bima ya afya, leseni ya gari( mpya na ya zamani), kadi ya kupigia kura, cha shule/chuo hata kama alishamalisha chuo, ma- business cards kibao, mwisho kabisa unakuta ana eflu mbili mia saba kwenye hilo wallet.
 
Hili dongo limeiniingia. Sasa akiba zenyewe za kudunduliza. Unaingia crdb unatoa buku kumi, nmb unatoa buku tano. Unamalizia kcb na buku kumi unanunua gauni la mtumba fasta.

Afu na kitamvulisho cha chuo kimekatwa nusu ngoja nijazie kwa.wallet kuna gap moja

Oop!, mpo wengi
 
Mods! Fungukeni!
 
Back
Top Bottom