Hebu soma notice board kuna tangazo muhimu.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604

Huu ndo ubao wa matangazo wa kampuni ya ujenzi barabara ya ki-china hapa Morogoro.
 

有限公司 Company Limited
Morogoro
公路 - Highway
项目 - Project
工程 - Engineering
简介 - Summary

Tafsiri yake ni Morogoro Highway Project Engineering Summary

NB: Kuna wengine Dadavuzi zenu zinaweza kutokuonesha hiyo mijengo ya Kichina
 
kama kuna anaeelewa tafsiri yake jamani atusaidie ukute tunachekelea ujenzi kumbe barua ya mapenzi............
 
Hahahahaaaah!acheni usanii nyie watu nane mliounganika kuunda mtu mmoja.
 
Kijana kumbe umewashawafaidi Wachina wewe, tetetetee JOCKING.

Naona Kichina kinapanda. Nime-google kuangalia kama unasema kweli na imeonyesha uko sawa.

Safi sana kujua Kuna Wabongo wanachanganya lugha kama hawana akili nzuri vile Hadi nakuonea WIFU

Tafsiri ipo hawajaiweka tu, hivi ndivyo huitwa;
莫罗戈罗 - muo luo ge luo
 

谢谢 - xiexie - asante
 
他们是无知的,他们的
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…