Hahahahaaaah!acheni usanii nyie watu nane mliounganika kuunda mtu mmoja.有限公司 Company Limited
Morogoro
公路 - Highway
项目 - Project
工程 - Engineering
简介 - Summary
Tafsiri yake ni Morogoro Highway Project Engineering Summary
NB: Kuna wengine Dadavuzi zenu zinaweza kutokuonesha hiyo mijengo ya Kichina
Hahahahaaaah!acheni usanii nyie watu nane mliounganika kuunda mtu mmoja.
In maana Morogoro haina neno la kichina? Thats great!
Tafsiri ipo hawajaiweka tu, hivi ndivyo huitwa;
莫罗戈罗 - muo luo ge luo
Tafsiri ipo hawajaiweka tu, hivi ndivyo huitwa;
莫罗戈罗 - muo luo ge luo
nyi haaa....kumbaa waaaaa......
Kijana kumbe umewashawafaidi Wachina wewe, tetetetee JOCKING.
Naona Kichina kinapanda. Nime-google kuangalia kama unasema kweli na imeonyesha uko sawa.
Safi sana kujua Kuna Wabongo wanachanganya lugha kama hawana akili nzuri vile Hadi nakuonea WIFU
P hii makitu ni level nyingine dear...ila inabamba sana ukiijua!