HEBU SEPA HUKOO:

HEBU SEPA HUKOO:

Usipende kuangalia makosa tu no one is perfect Mkuu

Mkuu ungejua mi ni nani na Nina msaada gani katika nchi hii ungekaa kimyaa...
Kila mmoja anasaidia nchi hata kwa kutoa mapato ni kutoa msaada kwa nchi. Lkn sio kwa uandishi huo.
 
Stori mzuri ila huna mpangilio mzuri wa uandishi, pia Jina la kitabu halisawiri kabisa na maudhui yaliyopo ndani ya kitabu.
 
Mambo ajee wakuu?poleni na mihangaiko ya kujenga tz..Leo katika mishe zangu nimekutana na mrembo wangu wa enzi hizoo aliyeuteka moyo wa mie Big kaka mpaka nikashindwa kupata na usingizi yaani ilikuwa ni balaa...ilikuwa MWAKA 2010 Mara tu nilipo hitimu shahada Yangu ya kwanza nilipata tempo ya kufundisha math katika shule moja ya Sec huko mbeya ingawa teaching it's not my professional siku ya kuripoti kazini ndiyo nilipokutana na huyo mrembo Toto la kinyatulu yaani kaumbika kila idara yaani kifuani chuchu SAA sita,kiuno kama dondora huko nyuma ndo balaa,rangi ya chungw,guu la bia in short alikuwa ni kifaa cha uhakika,basi akanikaribisha kwa tabasamu paana na kunipokea mizigo Yangu mpaka ndani kwa Mkuu wa shule hiyo baada ya utambulisho ndio nikajua kuwa Yule mrembo aliyenipokea ni mtoto wa kwanza wa Mkuu wa shule na kwa wakati huo alikuwa kidato cha tatu..kimoyomoyo nikajisemeaa mbona kama naona miaka 30 ya jela inanikaribia...kweli uwalimu ni witoo duu! Nikaomba MUNGU anisaidie maana in short dent alinichanganya balaa..basi nika anza kazi rasmi ya kufundisha math 4m3 na 4m4 katika shule hiyo nikajitahidi kuwa mvumilivu ili nicje haribu kazi sababu ya mapenzi.zaidi nikawa karibu sana kumsaidia yule binti kimasomo kama mwalimu wake tuu wala sikutaka kumuingizia ishu ya mapenzi na shule mpaka mwaka 2011 alipo hitmu kidato cha NNE na wakati huo alikuwa na umri wa miaka 18 ndipo nilipo mwaga ya moyoni kwamba limoyo langu lime mdondokeaa....itaendelea baadayee wakuu....
Hebu Sepa hukoo 2.inaendelea...Basi nikamwita mrembo nikamweleza Yangu ya moyoni,mtoto akanielewa kwa sababu lengo langu lilikuwa ni kuja kuoa kabisa na wala cyo eat and run. Basi tangu hapo nilikuwa happy balaa nikapiga chini milupo Yangu yote,na kuamua kutulia na huyu mrembo.Siku zikaenda tukiwa kama wapenzi lakini sikuwahi kumuomba game,lengo langu ilikuwa mpaka atimize malengo yake ya kusoma.MWAKA 2012 mrembo alichaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwani alifaulu poa Sana kidato cha NNE,na wakati huo nami nikawa nimeajiriwa rasmi serkalin kuitumikia rasmi my professional..hivyo nika acha rasmi kazi ya ualimu .Hivyo yeye akaenda Moro kuendelea na shule mie nikaenda mwanza kupga jobs.Hivyo tukawa tuna make communication through phone every weekend huku nikimsisitiza kusoma kwa bidii.huku mie maisha yakawa yanasonga ingawa nikawa napata wakati mgumu sana kuishi alone kwani warembo wengi wakawa wanajigonga wakitaka niwe nao,si unajua ten Big kaka nami ni HB si haba..Lakini sikutaka kuhangaika na warembo wengine kwani moyo wangu wote ulizama kwa huyu mrembo dent...MWAKA 2014 mrembo akafanikiwa kumaliza advanced level na alifaulu poa kabisa akapata na chuo huko iringa nilifurahi sana aisee.. Nami kutokana na upweke na ili nimsubirie mrembo wangu amalizie degree yake miaka 3,nami nika amua kwenda masomoni kuongeza maarifa zaidi.
Bahati nzuri nikapata hapo Dom,nilifurahi Sana kwani nikajua nitakuwa karibu na mrembo wangu na kuanza rasmi kufaidi matunda ya uvumilivu wangu na Huduma zangu maana nilikuwa nahudumia kweli aisee.Maisha ya chuo yaka anza rasmi me Niko Dom mrembo akiwa iringa huku nikiendelea kutoa Huduma kwani bumu alikosa huyu mrembo.. Ila cha kushangaza kila nikimwambia tuonane akawa hataki anatoa sababu lukuki sometimes cm zangu hapokei nikiuliza yuko busy na kitabu ..ila hela anapokea mgegedo hautaki,anasema mpaka ndoa.Siku moja nika amua kwenda chuoni kwao kimya kimya hapo I ringa,kufanya upelelezi kumbe amepanga ghetto moja na kajamaa katoto kamama kasharobaro Fulani hivi wanatafunana kama wanandoa vile shabashii!!.mie naambiwa mpaka ndoa dadekii!! Itaendelea ucku wakuu
..
 
Yaani graduate wa chuo huwezi kuandika ki story kifupi hivyo kikaeleweka.
Huweki aya ,huna vituo baada ya sentensi yaani kama vile umetype kwa kutumia miguu.

Jifunze kwanza kuandika ndio ukatongoze wasichana. Usije kuanza kumtumia msichana message za " MIMI NI BIGIKAKA NAHOMBA KUHONANA NA WEWE"
Afu eti ni mwalimu..
 
Kwaio umegraduate 2010 lakini mpaka leo 2018 unashindwa kutofautisha noun(nomino) na adjective? Yanii unaandika kwamba teaching is not my professional? Badala ya teaching is not my profession? Duuh umemaliza Teku nini mkuu?
 
Kwaio umegraduate 2010 lakini mpaka leo 2018 unashindwa kutofautisha noun(nomino) na adjective? Yanii unaandika kwamba teaching is not my professional? Badala ya teaching is not my profession? Duuh umemaliza Teku nini mkuu?
Ndio wasomi wetu hawa
Afu eti ni mwalimu..
Wakuu hii ni stori ya kutunga msimchukulie mwandishi serious kiivyo ..samahanini lakini

Stori yenyewe ya kuunga unga ndio maana haina mwisho was kueleweka afu mnamzogoa mwandishi wetu mwacheni atugereshe
 
Usipende kuangalia makosa tu no one is perfect Mkuu

Mkuu ungejua mi ni nani na Nina msaada gani katika nchi hii ungekaa kimyaa...

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom