Hebu njooni mnisaidie

Hebu njooni mnisaidie

Hivi hii type ya r'lship huwa mnaenjoy vipi linapokuja suala la sex na intimacy??me napata tabu sana kudate na mtu simpendi nakosa kabisa hisia yaani hata akiniangalia Kwa Upendo natamani nimgombeze,huu uhusiano kitaalamu unaitwaje?
 
Si unakua nae kwa ajili ya kugongwa tu kupunguza makali ya Nyege ukishapata mnaependana anampiga chini anaendelea na unaempenda na unaempenda kumbe yupo na wewe kwa ajili ya kukugonga tu atakugonga akimpata anaempenda anakupiga chini anaenda na anaempenda kumbe anaempenda yupo naye ili awe anamgonga tu akimpata anaempenda anampiga chini, kwa hio Mzungu na mzunguko upo hivyo ni mwendo wa kugongwa na kugongana
 
🤣🤣🤣🤣🤣Shenzy kabisa!!
Ila pamoja na suala Zima la kugonga na kugongwa,si inabidi uwe na mtu unaempenda sasa??
 
Sasa huyo unaempenda yeye yupo kwa ajili ya kukugonga tu Ila bado anajitafuta ampate anaempenda siku akimpata anaempenda anakupiga chini anaendelea na anaempenda kumbe huyo anaempenda nae anataka kugongwa tu hajapenda km alivyopendwa siku akimpata anaempenda tu tayari jamaa aliekupiga chini na yeye anapigwa chini, mzunguko upo hivyo yaan inakua hivyo unagongwa kisha unaachwa na anaekugonga huko atakakoenda ataachwa pia sababu wengi mapenzi wamechukulia km issue ya kugongana na kugongwa zaidi
 
🤣🤣🤣🤣Hatari kabisa
 
Hivi hii type ya r'lship huwa mnaenjoy vipi linapokuja suala la sex na intimacy??me napata tabu sana kudate na mtu simpendi nakosa kabisa hisia yaani hata akiniangalia Kwa Upendo natamani nimgombeze,huu uhusiano kitaalamu unaitwaje?

Ni kama tu friends with benefit inakua ni kama mnadate and huwezi sex na mtu humuelewi hapo inakua kila mtu ameridhika na show ya mwenzake but relationship mnajua kabisa haitawork kwa sababu mbalimbali ambazo mshaziona, so ili muwe free mnakua hivyo
 
Oooh kumbe ni hivyo...basi sawa
 
Back
Top Bottom