Hebu njooni mnisaidie

Hebu njooni mnisaidie

Hehe mimi na You IST wapi na wapi sio mimi mwaya 😀😀😀😀
Basi kuna Mrembo mmoja alinilazimisha kumwelekeza njia leo nikajua ndio wewe ume-crush

Unaemuona we baby kumbe nae ana baby, unaempenda kishenzi ni mshenzi kishenzi

Bora niiiinjoi

Ngoja nije PM nikuambie kitu
 
Mapenzi ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom