Hebu njooni mnisaidie

Hebu njooni mnisaidie

that manzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
386
Reaction score
1,247
Habari za weekend wakuu,

Kwa wale wataalam wa No strings attached, huwa mnafanya nini ikitokea mwenzako anaanza kufall, unamuepukaje? Unaweza kufanyaje umrudishe kwenye mstari…

Na ile uko na no strings attached ila mwamba/manzi anakuonea wivu

Tupeni experience zenu
 
Hakuna urafiki wa Jinsia mbili tofauti... Lazima kuna siku mmoja wenu au nyote mnaweza kujikuta mnatakana kingono.

Ni vyema ukitaka marafiki kaa na watu wa jinsia yako. Wanaume tukiwa na njaa hatuchagui msosi. Upwiru ukija hata rafiki atatongozwa tu
 
Umama huruma unatoka wapi 😀😀😀

Sitaki mahusiano ko ndo nipate na sex 😀😀kujichagulia mkaka mmoja wa kulana nae bila kupendana ni kosa?
Nimekuelewa sana utakua yule dada niliekua nakuelekeza njia leo pale karibu na geti langu ulikua ndani ya IST moja hivi ya silver au sio wewe?
 
Back
Top Bottom