NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
'Habarini wana wa jamvi hili.
Nilifikiria nitupie jukwaa la lugha ila nikaona yafaa iwe hapa ila hata kama ni mtaalam wa lugha pia si mbaya kama utaweza kunifumbua macho nami nikafaham maana halisi iliyotumika kwenye sentensi hizi SAMAKI katumika kwa maana gani wakuu?.
Wengi wamemzungumzia SAMAKI kwenye nyimbo zao mfano MR.EBBO (R.I.P) alimuuliza KAMONGO UMEMFANYA NINI PEGERE HANA MARKET mpaka leo sijajua amemaanisha nini huyu jamaa kama mtanijuza si mbaya nitashkuru.
Msanii wa pili ni DOGO MFAUME staki kusema yaliyomkuta ila POLE SANA ndugu yetu ndo maisha hayo coz kikupacho utam na uchungu pia kitakupa pole ndugu,huyu alisema NGADU NAE SAMAKI JAMA,AAH SAMAKI pia nae sijaelewa mpaka leo ana maana gani kwenye sentensi ya samaki si mbaya mkinijuza pia wadau wa burudani na lugha.
Ila kuna wimbo ambao bado unavuma sana kwa sasa wa RICH MAVOKO unaitwa ROHO YANGU kama sikosei,nimejaribu sana kuumiza kichwa kufkiria sentensi ya kwanza kabisa anapofungua verse ya kwanza bado sijapata jibu huyu jamaa kamaanisha nini hapa sentensi hiyo inasema hivi 'NIMEKUWA KAMA SAMAKI KUTAMANI NISIVYOVIWEZAAAAA' kwa kweli HII ndio haja kubwa ya uzi huu kujua maana halisi ya sentensi hiyo wadau wa lugha na burudani hebu karibuni tudadavue hapa kwa maana raha ya kitu ukiskilize na ukielewe hebu nielewesheni tafadhali kila mtu akitoa wazo lake nadhani tutapata mwanga kidogo kujua nini maana halisi ya sentensi hizi juu ya SAMAKI'