Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Wana wa bodi mko poa?
Jumapili imekaaje?
Okey !
Ninaamini mie Judgement nitakua tofauti kidogo na wengi wenu hapa Jf .
Wengi wenu mmejifunzia kingereza cha kuongea mashuleni (debate) vyuoni n.k n.k .
Mimi hiki kichache cha kuombea maji nilikipata kwa njia tofauti .
Miaka kadhaa nyuma nikiishi Kibamba c.c.m (D'salaam) nilibahatika kupata rafiki wa kitasha (Mzungu wa Uskochi- mskotish)
Mtasha huyu Gareth Palmer tulishibana sana , na akafanya efforts tukaondoka nae hadi Scotland , dhamira ya mie kwenda huko ilikua ni kutafuta maisha .
Kule Uskochi tulikua sijui niite jimbo , mkoa whatever !
Tuliishi Tayside - Dundee .
Efforts za Gareth zilinipatia job moja ya mgahawa pale Dundee na mara nyingine nilipelekwa Perth kuserve kwenye mgahawa dada wa kampuni iliyokua imeniajiri .
Hapo ndipo nilipolazimika kuongea lugha ya kizungu pasipo shuruti !
Kwa kupenda ama kwa kutopenda ilibidi niongee tu !
Nilihudumu huko takriban miaka 6 hivi na ushee , na nikarejea kwetu Uswazi .
Btw pamoja na hayo yako maneno mengi ya Kingereza yananipa hardwork kuyatohoa kwenye Kiswahili .
Mathalan ,
neno kama "AIR FORCE ONE"
Limenishinda kabisa niliiteje kwa Kiswahili .
Air force one ni moja ya most recognizable symbols of the presidency (Particulary United States Presidents)
No matter where in the world the president travels , if he flies in an air force jet , the plane is called AIR FORCE ONE !
Wadau wangu wapendwa , na wale wasio wapendwa wangu hebu niwekeeni sawa hii Air force one niiteje kwa Kiswahili na ilete maana ileile kwamba ni ndege ya Rais ?

Last edited by a moderator: