Hebu mukuje hapa muniwekee sawa hii maneno !

bysange
Arushaone
Niwaombe msivishughulishe sana vichwa kufikiri !
Nachelea mtakomaza vichwa vyenu unnecessarly !
Asili ya kukomaa kichwa cha Jacob Zuma kikawa na currently image , aliulizwa swali hilihili !
Result yake kichwa kilimkomaa kama anakunywa juice ya saruji !

Judgement acha tuviumie maana vimezoea kubebeshwa zege,kwa hiyo ndio maana zuma anazomewa lakini hivi kuna juisi ya saruji,jf raha sana hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Judgement acha tuviumie maana vimezoea kubebeshwa zege,kwa hiyo ndio maana zuma anazomewa lakini hivi kuna juisi ya saruji,jf raha sana hahahaaaaaa

Kwa kua ni kwa ridhaa yako mwenyewe , mi sina tatizo , proceed kusugua kichwa !
Have the coorage! Naamini matumaini is the most important of all the virtues coz without courage, you can't practice any other virtue consistently!
Haya komaa bysange i'm awaitin another results !
 
Last edited by a moderator:
Sio kila kitu kinatafsiriwa, especially majina, hilo ni jina wameipa ndege yao kwa sababu hakuna nyingine kama hiyo duniani.
 
Sio kila kitu kinatafsiriwa, especially majina, hilo ni jina wameipa ndege yao kwa sababu hakuna nyingine kama hiyo duniani.

mugajamii kwa kiasi flani changio lako lina'sense ! Inaniingia akilini unachokieleza .
 
Last edited by a moderator:
"hewa nguvu moja" ndo kwa kilugha cha kwetu,
.......................
Na hapo kibamba ccm bado uko hapo,
Kwa kuwa nimekubamba unaweza kuniambia
ni barabara au kitalu namba ngapi.

Au weye ndo mwenye ile bichi ya mitaa hiyo?
Nahitaji free pass ya mwaka mpya.
 
Kwa sasa sipo tena Kibamba Mamndenyi . My currently resident is Rock Ciry !
Hapo nilikuwepo early 90"s .
Ukitokea Kibamba C.c.m unateremka kama unarudi Gogoni au Tumbi , mbele kidogo kuna kibao cha shule , unakipita kidogo unafika bondeni na konani , hapo ndy nilipokua nikiishi . Unao uenyeji kidogo na eneo hilo ?
 
Last edited by a moderator:
Atlist Ladymasa umegusa agenda-mezani !
Btw hujalijua hilo neno , basi hata kujaribu ?

Nijaribu nini tena Judgement? nsije nikatukana bure nshasema sijui jamani.

  • A%20S-baby.gif

Last edited by a moderator:
Nimefungua kamusi natafuta jibu sahihi nitarudi

Labda kwako twaweza pata final solution ! Bikoz naimani unatumia Kamusi ya Dikshonare!
Afu your Spouse (Fiancee) to be mbona simuoni mjengoni kwetu?
Kwambaaali namuona mitaa ya MMU !
Mbona katukimbia ghafla ?
Kun'nini ?
 
Ok poa kumbe ulishatimua,
Mie niko naishi siyo mbali na maeneo hayo
Ningekutembelea mwaka mpya kumbe haupo,
wasalimie huko rocky city........... Happy New Year!!!!!!

Back
Top Bottom