Hebu mukuje hapa muniwekee sawa hii maneno !

Ok poa kumbe ulishatimua,
Mie niko naishi siyo mbali na maeneo hayo
Ningekutembelea mwaka mpya kumbe haupo,
wasalimie huko rocky city........... Happy New Year!!!!!!

Okey!
Basi kama una uwenyeji around a certain place , kuna Bi . Mkubwa mmoja very popular na wa miaka mingi anaitwa Bi . Mtumwa (Mama Sabrina) unamfahamu?
 
Jina siyo geni ila kwa sura hapana;
Vinginevyo unipe hiyo hela yake ya mwaka mpya
nitampitishia hata baadae tu hakuna shida.

Okey!
Basi kama una uwenyeji around a certain place , kuna Bi . Mkubwa mmoja very popular na wa miaka mingi anaitwa Bi . Mtumwa (Mama Sabrina) unamfahamu?
 
Ankal niambie! Mwaka mpya unauanzaje?
Auntie DEMBA hajambo ? Kapotea sana mjengoni , au ndo ushamsababishia safari za kiliniki ?

Hapo kijana wangi ni kweli utabiri wako uko sawa sawa, inaonekana waskochi zaidi ya kukufundisha kunywa ile wiski yako marufu, walikufunza kutabiri, sie wazee haturembi, kazi kwa vijana ambao kazi zao zipo chini ya wastani

Kifupi DEMBA hajambo kabisa......mwaka mpya nimeuanza kwa kuuumalizia huu kwa kukata kiu kiukweli ukweli, nissingie na madeni
 
Last edited by a moderator:

Ahsante Majomba umesomeka!
Kaza buti twenty forteen !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom