mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 524 Jan 12, 2011 #61 afya yake hiyo kajaaliwa na mwenyeeezi Mungu acheni wivu wanaizaya nyie!!
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,261 Jan 13, 2011 #62 Nyie vipi? Ni mzazi wake mtu huyo. Au mnadhani alitumia ya kichina?
kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 83 Jan 13, 2011 #63 Siyo polisi huyo. kaazima magwanda ili apige mkwara mitaani.
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,043 Reaction score 7,477 Jan 13, 2011 #64 Jaluo_Nyeupe said: mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma? Click to expand... hahahahahaaaa!!
Jaluo_Nyeupe said: mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma? Click to expand... hahahahahaaaa!!
M muvimba Member Joined Apr 20, 2008 Posts 96 Reaction score 35 Jan 13, 2011 #65 huyu bwana sidhani kama yupo sawa, s
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,061 Jan 13, 2011 #66 ...hapo hajapewa U-trafiki yupo hivo. akiupata sijui itakuwaje. Mungu aepushie mbali
Mtumishi Wetu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 5,711 Reaction score 1,914 Jan 13, 2011 #67 Nanren said: Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU! Click to expand... Hana cha rushwa huyo ila mamas nyumbani ana mradi wa kiosk ua mama lishe.Ana bahati kameponea humohumo.
Nanren said: Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU! Click to expand... Hana cha rushwa huyo ila mamas nyumbani ana mradi wa kiosk ua mama lishe.Ana bahati kameponea humohumo.