Mwaka 2018/2019Mwaka gani hapo?
Anatoka chuo gani huyo?Dr. Kitururu
Umechanganya, Akina Tarimo walikuwa wawili. AKPR TARIMO yeye alikuwa anafundisha Plant Physiology na ule Tarimo mwingine alikuwa anafundisha Irrigation and hydrology.Mwenyewe anajiita AKPR Tarimo. Anasema Wahandisi wa Maji wa kwanza walikuwa wanne, na watatu wameshafariki amebaki yeye tu.
Prof muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amrehemu ameen. The guy alichangia wanafunzi wengi sana kufaulu form Six na kwenda kwenye vyuo vikubwa hapa nchini kama UDSM,UDOM,MUHI2.... Asilimia 60 ya wanafunzi walioenda COET walipitia kwa huyu mkali wa physics...RIPProf muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)
Sent using Jamii Forums mobile app
Lyimo wa MC na Masenge wa MTUDSM
Prof. mshandete, Dr lyimo (now Prof.), Prof.Masenge
Dr.Mihanjo philosophy alikuwa poa Sana. Dr. Lymo As, Sister Kente philosophy of religion
Huyo alikuwa anafundisha DSProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alitufundisha Critical thinking and argumentations
Sister kente tulizoea kumuita bibiDr.Mihanjo philosophy alikuwa poa Sana. Dr. Lymo As, Sister Kente philosophy of religion
Hahahaha mzee ana mitusi yule utazan kijana wa 1990's
Hahahaahaaaaa daaaaahProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahama huyu mwamba, nakumbuka sana mambo ya psychology, alikuwa anatufundishia uwanjaniDr.Kondo pale UDOM uliupiga mwingi enzi hizo,Nasikia ushahama
Duuh yule mtu na nusuKahama huyu mwamba, nakumbuka sana mambo ya psychology, alikuwa anatufundishia uwanjani
Hahaha! Dr. Kiduanga, bado yupo, anapendwa sana huyu doctor.Mi sio wa kitambo sana ila heshima kwa Dr Fred Okangi, Dr Sufiani, Dr Dotto Kuhenga, Dr Malima, Mwl Lila Mandu, Mr Katunzi, Dr Kamfipo na Mr Mwakalindile wote UDSM hakika walifanya taaluma iwe sawia sana.
Bila kumsahahu Dr flani hivi pale IDS-UDSM a.k.a “mzee wa Izintiti" hahahah wazawa watakuwa wanamjua