Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Mwenyewe anajiita AKPR Tarimo. Anasema Wahandisi wa Maji wa kwanza walikuwa wanne, na watatu wameshafariki amebaki yeye tu.
Umechanganya, Akina Tarimo walikuwa wawili. AKPR TARIMO yeye alikuwa anafundisha Plant Physiology na ule Tarimo mwingine alikuwa anafundisha Irrigation and hydrology.
 
Prof muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)

Sent using Jamii Forums mobile app

Prof muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amrehemu ameen. The guy alichangia wanafunzi wengi sana kufaulu form Six na kwenda kwenye vyuo vikubwa hapa nchini kama UDSM,UDOM,MUHI2.... Asilimia 60 ya wanafunzi walioenda COET walipitia kwa huyu mkali wa physics...RIP
 
Professor Frank Doe, Dallas university (USA),biology department enzi hizo za late 90's...nadhani sasa hivi ameshastaafu.
 
Nisipomkumbuka Dr Remy Ongala nitakua sijamtendea haki kanikonga sana mtima pale Kijiji cha Makumbusho,R.I.P
 
Mi sio wa kitambo sana ila heshima kwa Dr Fred Okangi, Dr Sufiani, Dr Dotto Kuhenga, Dr Malima, Mwl Lila Mandu, Mr Katunzi, Dr Kamfipo na Mr Mwakalindile wote UDSM hakika walifanya taaluma iwe sawia sana.

Bila kumsahahu Dr flani hivi pale IDS-UDSM a.k.a “mzee wa Izintiti" hahahah wazawa watakuwa wanamjua
 
Hahaha! Dr. Kiduanga, bado yupo, anapendwa sana huyu doctor.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom