Mimi wala sijazungumzia kuhusu landmines za 1990's, nazungumzia za juzi Tu Hapa zilizowekwa na hao ndugu zako Houthi, wao ndio walioweka Kwa kiasi Kikubwa kuliko yoyote Yule katika historia ya Yemen, Vitendo au tactics za kigaidi namna hiyo ndio zimeifikisha Yemen ilipo katika baadhi ya maeneo, Mimi siko bias kama wewe. Nyie Houthi mnatumia maisha ya watu kwaajili ya maslahi yenu binafsi ya kiitikadi wakati watu wanachotaka ni Amani na maisha Bora, Houthi na Saudia hawana tofauti yyte so msijaribu kujitoa kwenye hizo lawama maana PR yako kwao haisaidii kitu.Unaongea uongo mwingi sana. Ripoti ziko mbili. Ya kwanza iliyotolewa na UN human rights inasema "Houthi might be the one under landmines plot in Taiz". Might ila haina uhakika.
Ripoti za serikali ya Yemeni landmines hizo zilikuwepo tangu civil war ya 1990 ambayo iliisha 1994. Ndio maana nakwambia ACHAGA KUONGOPA.
Kumbe hata wewe mwenyewe hujui kitu, nilikwambia kule juu Isije ikawa najadili na mtu wa juzi maana Kusema Houthi ilianza kama Ansaullah ni UONGO mkubwa au ni Kutojua mwanzo wa kitu, Jina la Kwanza kabisa la movement lilikuwa ni Al shabab Al muumin japo malengo Yao yalikuwa tofauti kidogo na sasa, then wakawa wanabadili kulingana na malengo, nyakati na matukio yanavyokwenda ndo sasa Yakaja majina kama Houthi na Hilo Ansarallah...Na kiufupi ni kwamba hata ikitokea Houthi wakashika nchi mazima still bado wataendelea kuwa chini ya familia Ile Ile ambayo iko centered na Houthi yenyewe, sasa huo si ugonjwa?UAONGEA UONGO MWINGINE. Houthi ilianza kuitwa Ansarullah kabla ya kuitwa Houthi. Na 1994 kuna koo kubwa takriban 4 ziliungana kuunda hiyo Ansarullah kabla ya itikadi kuhama kuja kuitwa Houthi 2000s. Unaanza kunambia stori za kusadikika hata historia ya Houthi HUIJUI.
Kimsingi ni kwamba social structure ya Yemen haifanyi kazi Sana Kwa koo kama unavyosema, Kwa kiasi Kikubwa ni Confiderations za makabila au koo ndio zinafanya kazi, Kusema iliundwa na koo kubwa nne ni UONGO mtupu kabisa na kuhusu kuwa descendants wa Muhammad kama nilivyosema ni rumours tu but ni rumours za kawaida Kwa Hashemite hasa MASHIA ili Ku justify their deeds.Na kwa kukuongezea ripoti mnamo September Haiyz na Mocha ilipobebwa kuna koo zingine TATU ziliomba kujiunga na Houthi ili ziendeleze mapambano. Nina mashaka na vyanzo vyako vya habari. Na hilo suala la kusema ni descendants wa Mohammad(s.aw.) hata kama ni fununu inaonesha vyanzo vyako sio vya kuaminika.
Sio mji Tu Bali sehemu mbalimbali kama nilivyosema hata mashule mengi sanaaa. Ni sehemu nyingi Sana walifanya hivyo.Kiufupi na nasisitiza Houthi hawakuwa behind the land mines plot kwenye huo mji. Kasome ripoti zako vizuri.
Bro hiyo juzi unayosemea wewe si 2014/2015? Au unasemea juzi gani!? Kama unasemea 2026 September Houthi aliubeba mji wa mtutu.Mimi wala sijazungumzia kuhusu landmines za 1990's, nazungumzia za juzi Tu Hapa zilizowekwa na hao ndugu zako Houthi, wao ndio walioweka Kwa kiasi Kikubwa kuliko yoyote Yule katika historia ya Yemen, Vitendo au tactics za kigaidi namna hiyo ndio zimeifikisha Yemen ilipo katika baadhi ya maeneo, Mimi siko bias kama wewe. Nyie Houthi mnatumia maisha ya watu kwaajili ya maslahi yenu binafsi ya kiitikadi wakati watu wanachotaka ni Amani na maisha Bora, Houthi na Saudia hawana tofauti yyte so msijaribu kujitoa kwenye hizo lawama maana PR yako kwao haisaidii kitu.
Punguza uongo kama hufahamu kitu kheri usiandike tu bro. Houthi haukuwahi kubadili lengo tangu ilipoanzishwa ni organization ya kisiasa iliyofungamana na dini dhehebu la kishia.Kumbe hata wewe mwenyewe hujui kitu, nilikwambia kule juu Isije ikawa najadili na mtu wa juzi maana Kusema Houthi ilianza kama Ansaullah ni UONGO mkubwa au ni Kutojua mwanzo wa kitu, Jina la Kwanza kabisa la movement lilikuwa ni Al shabab Al muumin japo malengo Yao yalikuwa tofauti kidogo na sasa, then wakawa wanabadili kulingana na malengo, nyakati na matukio yanavyokwenda ndo sasa Yakaja majina kama Houthi na Hilo Ansarallah...Na kiufupi ni kwamba hata ikitokea Houthi wakashika nchi mazima still bado wataendelea kuwa chini ya familia Ile Ile ambayo iko centered na Houthi yenyewe, sasa huo si ugonjwa?
Hapa unakataa nini na unakubali nini!?? Unajichanganya na kauli zako mwenyewe.Kimsingi ni kwamba social structure ya Yemen haifanyi kazi Sana Kwa koo kama unavyosema, Kwa kiasi Kikubwa ni Confiderations za makabila au koo ndio zinafanya kazi,
Dhehebu la shia la Yemeni ni tofauti na dhehebu la shia la Iran na kwingineko. Shia wa Yemeni hawawezi thubutu kuleta hizo rumours na pia wao hawaendeshwi na sheria 12 za kishia wako different.Kusema iliundwa na koo kubwa nne ni UONGO mtupu kabisa na kuhusu kuwa descendants wa Muhammad kama nilivyosema ni rumours tu but ni rumours za kawaida Kwa Hashemite hasa MASHIA ili Ku justify their deeds.
Sio mji Tu Bali sehemu mbalimbali kama nilivyosema hata mashule mengi sanaaa. Ni sehemu nyingi Sana walifanya hivyo.
Ndugu yangu wewe muongo halafu haujui.Mimi wala sijazungumzia kuhusu landmines za 1990's, nazungumzia za juzi Tu Hapa zilizowekwa na hao ndugu zako Houthi, wao ndio walioweka Kwa kiasi Kikubwa kuliko yoyote Yule katika historia ya Yemen, Vitendo au tactics za kigaidi namna hiyo ndio zimeifikisha Yemen ilipo katika baadhi ya maeneo, Mimi siko bias kama wewe. Nyie Houthi mnatumia maisha ya watu kwaajili ya maslahi yenu binafsi ya kiitikadi wakati watu wanachotaka ni Amani na maisha Bora, Houthi na Saudia hawana tofauti yyte so msijaribu kujitoa kwenye hizo lawama maana PR yako kwao haisaidii kitu.
Kumbe hata wewe mwenyewe hujui kitu, nilikwambia kule juu Isije ikawa najadili na mtu wa juzi maana Kusema Houthi ilianza kama Ansaullah ni UONGO mkubwa au ni Kutojua mwanzo wa kitu, Jina la Kwanza kabisa la movement lilikuwa ni Al shabab Al muumin japo malengo Yao yalikuwa tofauti kidogo na sasa, then wakawa wanabadili kulingana na malengo, nyakati na matukio yanavyokwenda ndo sasa Yakaja majina kama Houthi na Hilo Ansarallah...Na kiufupi ni kwamba hata ikitokea Houthi wakashika nchi mazima still bado wataendelea kuwa chini ya familia Ile Ile ambayo iko centered na Houthi yenyewe, sasa huo si ugonjwa?
Kimsingi ni kwamba social structure ya Yemen haifanyi kazi Sana Kwa koo kama unavyosema, Kwa kiasi Kikubwa ni Confiderations za makabila au koo ndio zinafanya kazi, Kusema iliundwa na koo kubwa nne ni UONGO mtupu kabisa na kuhusu kuwa descendants wa Muhammad kama nilivyosema ni rumours tu but ni rumours za kawaida Kwa Hashemite hasa MASHIA ili Ku justify their deeds.
Sio mji Tu Bali sehemu mbalimbali kama nilivyosema hata mashule mengi sanaaa. Ni sehemu nyingi Sana walifanya hivyo.
Ngoja nikupe historia sasa ambayo huijui, sasa nimeamini upeo wako bado Sana kwenye historia ya Yemeni hasa Houthi.Ndugu yangu wewe muongo halafu haujui.
Houthi haikuwahi kuitwa ALSHAAAB kama unavyodai.
Aisee heehehe we jamaa kheri unyamaze tu kama hufahamu kitu.View attachment 3676204
Kwa kuwa umetaka mwenyewe Ku quote source from UN human rights watch, basi twende kwenye ripoti Yao. Human rights watch wamesema very clearly kuhusu hiyo ishu, neno "inawezekana" umelileta wewe au labda hujasoma ripoti yote Kwa ujumla au umesoma nusu...Sijui unachukua vyanzo gani vya uongo na kweli.Bro hiyo juzi unayosemea wewe si 2014/2015? Au unasemea juzi gani!? Kama unasemea 2026 September Houthi aliubeba mji wa mtutu.
Hiyo 2014/2015 UN human rights watch walifanya uchunguzi wakasema "Inawezekana Houthi ndio wameweka". Ripoti ya serikali ukakanusha na kusema ni masalia ya civil war za 1990s. Jaribu kusoma kwa uelewa basi kaka. Houthi wanaungwa mkono na 90% ya raia wa Yemeni sasa sijui unaongea nini.
Wewe ndio hutaki kuelewa unakaza fuvu tuKuhusu landmines nishakuelewesha usipotaka kuelewa am resting the case.
Hao Houthi wageukwe na nani ilhali Houthi 90% inaungwa mkono na raia wa Yemeni!? We jamaa vipi mbona unaongea utumbo!??Kwa kuwa umetaka mwenyewe Ku quote source from UN human rights watch, basi twende kwenye ripoti Yao. Human rights watch wamesema very clearly kuhusu hiyo ishu, neno "inawezekana" umelileta wewe au labda hujasoma ripoti yote Kwa ujumla au umesoma nusu...Sijui unachukua vyanzo gani vya uongo na kweli.
Shida sio kuungwa mkono, Hili nimelisema kule juu sijui huelewi nini sasa. Mapinduzi yoyote Yale ambayo Yana lengo la kuitoa serikali dhalimu madarakani lazima yaungwe mkono na wananchi but haina guarantee kuwa serikali inayokuja ndio itakuwa nzuri coz wananchi first they don't care who's coming but wanachotaka ni existing govt itoke Kwanza mengine ni baadae...Ndio maana nikakwambia Houthi na Saudia ni wale wale hata hao Jamaa zako wakiingia madarakani still wananchi watawageuka maana hawatapumua watabanwa na west Kila mahali kiuchumi nk.
Soma hiyo ripoti hapo chini kutoka Human Rights watch. Ime accuse Houthi na Allied forces ama vikosi vinavyosaidiwa na Saudi Arabia kwa wakati mmoja. Havijasema directly kuwa Houthi ndio wamehusika.Wewe ndio hutaki kuelewa unakaza fuvu tu
Kijana unanipotezea muda na story zako za UONGO. Ni ngumu kumuelimisha mtu aliyemezeshwa UONGO.Ngoja nikupe historia sasa ambayo huijui, sasa nimeamini upeo wako bado Sana kwenye historia ya Yemeni hasa Houthi.
Vuguvugu lilipewa jina Al shabaab Al muumin halikuwa vugu vugu la mtu mmoja Bali ni la wanazuoni wengi wakiwemo hao kina Badreddin Al-Houthi (Baba Yake Hussein Al-Houthi), lengo lake lilijikita zaidi katika Elimu hasa ya kidini na si Siasa wala kijeshi. Kwanza ilikuwa kulinda mafundisho ya ki zaydi (Shia sect hii), kumbuka kama utakuwa unajua 1962 mfumo huu uliangushwa Yemeni.
Pili lengo ilikuwa ni kuzuia ukuaji wa usalafi Yemeni hasa Kaskazini,Kumbuka Saudi Arabia Kwa kushirikiana na Serikali ya Yemeni walikuwa na kampeni ya kueneza usalafi Kaskazini mwa Yemeni ambapo Shia iko predominantly kabisa
Ziko sababu za kutengwa nk.
Baadae sasa uelekeo ukabadilika ukaingia katika harakati za kisiasa hasa hasa baada ya Hussein Al-Houthi kushika kijiti, ukijumlisha sababu za kijamii, kisiasa na influence ya West hasa US ilikuwa kubwa mno na kutishia kabisa ustawi middle East hasa hasa pale ambapo Ali Abdullah Saleh alipokuwa na mashirikiano ya kipuuzi na US & Saudi Arabia kama utakuwa ulipata akili sawa sawa Kipindi cha uvamizi wa Iraq basi ulisikia au uliona namna upazwaji mkubwa wa sauti ulifanyika na Hawa Jamaa and automatically ikawa ni miongoni mwa sababu za kuwatoa kwenye lengo la vugu vugu anzilishi na kuingia rasmi sasa katika Siasa na mambo ya kijeshi...Once walipotoka katika masuala ya kidini na kuingia kwenye Siasa Kwa sababu tajwa huko juu basi ndio mambo yalipoanza kwenye jinsi yalivyo. Umedakia Historia juu Kwa juu au Katikati bila kuchimba mwanzo, siku nyingine usikurupuke ili usilete historia za uongo za upande unaoutaka.
Sasa wewe umerukia historia Katikati ambapo tayari harakati zimeshapamba Moto, ndio maana nimekwambia wewe bado Sana kwenye historia ya hao Houthi, mwenzako Mimi nafahamu kiini kabisa na hata Leo hii ukiniamsha usingizini vikundi Vyote maarufu middle east najua mwanzo wake.
Katika Maisha yangu Sijawahi kuona mtu mjinga na mpumbavu kama wewe. Hiyo ripoti hapo juu imeeleza Clear kabisa na ni tofauti unavyosema wewe!, hebu soma hiyo ripoti vizuri.Hao Houthi wageukwe na nani ilhali Houthi 90% inaungwa mkono na raia wa Yemeni!? We jamaa vipi mbona unaongea utumbo!??
Soma hiyo ripoti hapo chini kutoka Human Rights watch. Ime accuse Houthi na Allied forces ama vikosi vinavyosaidiwa na Saudi Arabia kwa wakati mmoja. Havijasema directly kuwa Houthi ndio wamehusika.
Bro akili yako ni ina matope au nini!??View attachment 3676552
Wewe sio mtu mwerevu ripoti uliyoileta Tu Human Rights watch imekushinda kutafsiri kweli Utaweza Kujadiliana na Mimi kweli?, nilikwambia kabisa Kwa kuwa umechagua hiyo ripoti ww mwenyewe haya ilete....umeileta na umekuja na Tafsiri zako tofauti na ripoti halisi, kama Tu neno "Allied or Allies" limekushinda Huna hadhi wala uwezo wa kuendelea Kujadiliana na Mimi, nimekuvua vyeo kabisa na nakuona ni mtu mjinga.Kijana unanipotezea muda na story zako za UONGO. Ni ngumu kumuelimisha mtu aliyemezeshwa UONGO.
Nakusihi nenda kasome au katafute vyanzo vya kuaminika. YOTE ULIYOANDIKA NI UONGO UONGO MTUPU ULIOTUKUKA.
Am resting the case unanipotezea muda kasome kwanza.