Kununua silaha nyingi sio kuwa na uwezo wa mapiganoKuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa!
Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca!
Kwa nini Saudi walielie na kuomba msaada kukabiliana na hawa Houthi. Kuna nini kinatokea hadi hali iwe tete kiasi hiki?
Kwani wakiandaa vidola kama bilioni mbili hivi, akina Lucas Mwashamba, Tlaatlaah hawawezi kweli kwenda kutoa msaada huko na kutuacha nasi hapa JF tupate hewa kidogo?
Allah amesafiriEm bomu lipige hapo macca na madina tuone labda allah atawasaidia 😎
Mudy Je? 😂Allah amesafiri
Uzi ufungwe kabisa hapa umemaliza kila kituKuna tawala ambazo majeshi yao kuwa na nguvu sio kipaumbele, bali kipaumbele ni majeshi yao kuwa watiifu. Kwahiyo tawala hizo hufanya sabotage kuhakikisha majeshi hayawi na nguvu, uhuru, akili, uongozi shupavu na utayari wa vita ili kusitokee mapinduzi.
Yes research Yako ni ya ukweli. Maana hata F35 anazo nunua Saudi Arabia, marubani watakuwa ni wa USA.Jeshi la Saudi Arabia ni model sawa na jeshi la Libya ya Gaddafi na jeshi la Syria ya Bashar al Assad.
Kuna tawala ambazo majeshi yao kuwa na nguvu sio kipaumbele, bali kipaumbele ni majeshi yao kuwa watiifu. Kwahiyo tawala hizo hufanya sabotage kuhakikisha majeshi hayawi na nguvu, uhuru, akili, uongozi shupavu na utayari wa vita ili kusitokee mapinduzi.
Vikosi competent pekee huwa ni kikosi cha kulinda serikali, bunge, mahakama na ikulu na wale protection unit ya kiongozi wa nchi. Hizo special forces pekee ndio huwa imara kila kona na huongozwa na the most trusted people kama mabinamu na wapwa wa watawala.
The rest ni vikosi oya oya mafunzo sifuri, coordination hamna, utayari hamna, na vinaongozwa na machawa tu wala sio makamanda wenye uwezo.
Model hiyo ya jeshi huwa inanunua silaha nyingi kumtisha adui wa nchi jirani aogope kuleta uchokozi. Na huwa majeshi hayo yanakwepa sana confrontation za nje ili uwezo wake usijulikane waziwazi. Huwezi wasikia sijui wamelinda amani au wameshiriki joint task force, sana sana Saudi Arabia itatuma hela, inunue silaha kisha nchi maskini zinazojiamini ndio zitumie huo msaada kwenye kulinda amani.
Mara ya mwisho Gaddafi anajaribu kumsaidia Iddi Amin majeshi yake yalipigwa na JWTZ. Ni majeshi njaa yaliyokuwa na sifa nilizotaja hapo juu, ila yana silaha nzuri.
Vilevile Gaddafi alishindwa vita ya Chad wakati Chad ni maskini tu na Jenerali Derby akiongoza vikosi kwa silaha nyepesi kabisa. Gaddafi na kuvaa magwanda kila siku maisha yake yote hajawahi pigana vita yoyote akashinda.
Ambacho hayo majeshi yanajua vizuri ni kupiga raia. Wana mbinu za kila aina za kupiga raia na kukamata watu, jambo ambalo majeshi kama ya UK au France yanaweza fundishwa nao.
Vilevile ni sera ya Saudi Arabia kununua silaha nyingi kwa washirika kwa makubaliano italindwa. Last time inakaribia kuvamiwa alikuwa ni Saddam Hussein aliyekuwa na silaha nyingi na jeshi la kawaida tu, alivyoivamia Kuwait na kukaribia kuivamia Saudia ambayo haikuwa na silaha kabisa ndipo Mfalme wa Saudi akaanzisha defense policy ya kununua silaha nyingi na kuweka kambi za superpower ili jirani mwenye fujo aogope kukuvamiwa.
That policy worked well, mpaka Iran ilipopata makombora na drones makundi kama Houthi yakapewa.
Kaenda vacation Seychelles?Allah amesafiri
T14 armata anajuYes research Yako ni ya ukweli. Maana hata F35 anazo nunua Saudi Arabia, marubani watakuwa ni wa USA.
Daudi versus GoliathKuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa!
Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca!
Kwa nini Saudi walielie na kuomba msaada kukabiliana na hawa Houthi. Kuna nini kinatokea hadi hali iwe tete kiasi hiki?
Kwani wakiandaa vidola kama bilioni mbili hivi, akina Lucas Mwashamba, Tlaatlaah hawawezi kweli kwenda kutoa msaada huko na kutuacha nasi hapa JF tupate hewa kidogo?
Saudi Arabia ananunua silaha kama appeasement policy dhidi ya USA.Yes research Yako ni ya ukweli. Maana hata F35 anazo nunua Saudi Arabia, marubani watakuwa ni wa USA.
Mkuu hivi huwa inalipwa kwa cash au kwa Resources, Maana Na imagine hizo Saudi Riyal si zitakuwa zinaoverflow hapo Federal Reserve?Saudi Arabia ananunua silaha kama appeasement policy dhidi ya USA.
Kipindi MBS alipomuua Jamal Kashoggi kwenye ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki, kulitokea wito kwa wanaharakati Marekani iiwekee vikwazo Saudia au MBS mwenyewe. Wakanunua silaha.
Ikitokea uvunjivu wa haki za binadamu. Saudi inanunua silaha.
Ikitokea Trump anafanya ziara kwao. Wananunua silaha.
Ikitokea wao wanaenda kwa Trump. Wananunua silaha.
Kwahiyo wao kununua silaha ni sera, sio mahitaji. Ndio maana wana silaha hata kuzitumia vizuri hawajui wala package ya training hawaizingatii. Maana maintenance itafanywa na Western contractors.
Kama ambavyo madikteta wa Kiafrika wakitaka kujipendekeza wanatoa rasilimali, wa Kiarabu wanatumia hela za mafuta kununua vitu vya gharama. Wakukwepa silaha wataweka order kubwa ya Boeing.
Hahahahahaaaaaa yupo vizuri sana kwenye updates