hebu fungukeni hapa............

hebu fungukeni hapa............

limekukuta nini mkuu?ebu funguka tukupa maujanja ya kufanya ili watu waamini kuwa mtu amebadilika...
Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?
 
Mimi sina jibu zaidi ya kusema ni kazi za shetani kuhakikisha hunyanyuki toka pale ulipoanguka. Hivi hujaona ukiamua kuacha jambo baya ndivyo ushawishi wa kuendelea unavyokuwa mkubwa?? Kama unaacha sigara basi utashangaa hata wale ambao walikuwa hawakupi vipisi wanakununulia kabisa pakiti.

Nadhani matendo yako ndio yanayopaswa kudhihirisha ubadilikaji wako than kutegemea wadau wakusaidie. Hebu nambie kama ulikuwa mteja wa Kona bar, halafu unaamua kuacha lakini bado unategemea mteja mwenzio ambaye bado hajaacha akusaidie kuacha kabisa???? ni ndoto.

Well said, MwanajamiiOne. Nimeipenda hii!
 
Nafikiri kila mtu ana utashi wa kuchagua kutenda mema au mabaya. Haya tufanye mazingira yamekubana sijui umelazimika kuiba au kucheat, au labda makundi ya vijana yamekuinfluence ukajiingiza kwenye drugs, au wamama/mashangingi wamekuinfluence ukajiingiza kwenye ushirikina (dawa za mapenzi); kitendo tu cha wewe kushawishiwa maana yake hauna values zako mwenyewe. Sasa kuja kubadilika hadi uwe na moral values zako unazoweza kuzisimamia no matter what, inahitaji kazi kubwa sana (naweza ita deliverance), maana bila ya kuwa na mabadiliko katika values zako na uwezo wa kuzisimamia, hiyo change yako itakuwa very temporal, maana mazingira yakija kukuinfluence tena, utarudi kule kule; so can you blame some people for not trusting you?

Ndio maana counseling na positive influence inahitajika sana ili kukujenga inside ili ujue nini unachokihitaji na uweze kukisimamia.
nimekupenda bure kwa akili yako,
sasa Kaunga umeongelea kitu kipya kwangu kwamba inahitaj deliverence what does it mean?
 
Last edited by a moderator:
limekukuta nini mkuu?ebu funguka tukupa maujanja ya kufanya ili watu waamini kuwa mtu amebadilika...

kwani ni mpaka iwe ni mm ndo unaweza kushauri? what if sio mimi il akuna mtu nataka apone kupitia hii post?
i dont think it to be worth knowing inaamuhusu nani. am sorry for that
 
bidada unaonekana mmmh!

haya ila hata kama haya ni kulingana na mtazamo wa mtu but kuna tabia ambazo zinajulikana kabisa hizi ni mbaya katika jamii. anyways mie nataka kujua kwanini mtu anapobadilika kutoka katika tabia hii mbaya bado jamii humuhesabu mkosa?

Ndo nimesema hakuna UBAYA STANDARD!!!! Mfano mtu mlevi akicha bier, wapendwa watampongeza kwa kuona ameacha baya kafata jema! Ila sie wenzie wa VITI VIREFU VYA KAUNTA atatuboa, tutaona Kafuli tu huyo, ameenza kujizeesha kijana mdogo, yaani ndo anajipotosha kwa kuacha KURELAX NA KU ENJOY na kufata jambo baya la kuwa sobber na full of stress!!! Simu zetu walevi ndo asahau jumla jumla!!!! All im saying any change lazima iwe na two antagonistic reactions. Na ndo maana ni vigumu mtu kubaki kwenye good changes!!! Hapo akiona walevi tumemsusa anaamua KURENEW CONTRACT NA BIER!!!!! Nasisitiza VIBAYA VITAMUUUU!
 
mmh! ujue katika mtu ama kiumbe ambacho kitaingia mbinguni ni shetani, kwasababu yeye ametimiza wajibu wake vizuri dunian.
 
nimekupenda bure kwa akili yako,
sasa Kaunga umeongelea kitu kipya kwangu kwamba inahitaj deliverence what does it mean?

Deliverance tunaweza kusema kufunguliwa,
Shetani ni author wa ubaya wote duniani, na huwa ana kitu ambacho anakitumia kujiattach na yule ambaye anamtaka, some of us inaweza kuwa kiburi, wengine uoga, wivu, tamaa, ulevi, flirting n.k. Sasa hivyo vitu viko ndani sana yetu kiasi kwamba tunashindwa hata kujitofautisha navyo. Hujawahi kuona mtu ni mdokozi tu na hata kama kwao wanazo (kleptomaniac), mtu kama huyo kwa nguvu zake hawezi jitoa katika hiyo hali ingawa anapenda kuacha, so watu wa namna hiyo njia pekee ya kujitoa ni kuvunjwa hiyo minyororo ambayo shetani kajiattach nayo kwa njia ya maombi ya kujifungua (derivalance).

nafikiri nimejitahidi kujieleza, na utakuwa umeelewa kiasi.
 
Shetani author wa ubaya wote duniani, na huwa ana kitu ambacho anakitumia kujiattach na yule ambaye anamtaka, some of us inaweza kuwa kiburi, wengine uoga, wivu, tamaa, ulevi, flirting n.k. Sasa hivyo vitu viko ndani sana yetu kiasi kwamba tunashindwa hata kujitofautisha navyo. Hujawahi kuona mtu ni mdokozi tu na hata kama kwao wanazo (kleptomaniac), mtu kama huyo kwa nguvu zake hawezi jitoa katika hiyo hali ingawa anapenda kuacha, so watu wa namna hiyo njia pekee ya kujitoa ni kuvunjwa hiyo minyororo ambayo shetani kajiattach nayo kwa njia ya maombi ya kujifungua (derivalance).

Ubarikiwe sana Da Mkubwa Kaunga. You have nailed it very well.

Kuna wakati nilitana na mtu alotamani kuhama katika community alokuwepo kisa haikuwa na historia nzuri juu ya maisha yake. Nikampeleka kwa rafiki yangu apate ushauri akaambiwa kuwa kukimbia si suluhisho, stay but change na uwaonyeshe kwa vitendo kuwa umechange na kamwe usikatishwe tamaa na mabezo yao.
Sasa hivi mtu huyo anaaminika na the same community hakuna mfano.
 
nimekuelwa sana na asante sana kwa hili manake real ninapata mafunzo kwako.

hebu je niambie katika hili, umemkuta binti wa kike ni ndugu kwenye ukoo, kwatabia zake ukoo wote umemtenga ila ukaona hapana anahitaj faraja kama binadamu. umejitahidi sana kumfanya abadilike na wewe ukimtizama kwa macho ya kibinadamu unaona kweli amebadilika na toka uanze hiyo kazi ni kama 2 yrs sasa.

sasa siku unamtuma kwa ndugu mwingine, sehem ambayo ni mbali itakayo mlazimu kulala huko, ndugu anasema simtaki kwani hata unipe nini siamin kwamba huyu mtu kabadilika kibaya zaid ndugu anampigia simu binti na kumwambia kwamba aache unafki hawez kubadilika.

binti anaumia sana na kujiona kama jamii haimpendi tena na anajiona mkosa sana asiye stahili hata kuish je wewe kama ndo mlez wake utafanyaje hapo? kumbuka kuna ugomvi unaoweza kutokea iwapo utaendeleza mjadala.

nisamehe sana kwa maneno mengi but pse sema neno hapa.
 
jamani i didn't knew kwamba jf is more than what one can think.

so swala la muhimu ni kujipa moyo na kubadilika tu?
 
nimekuelwa sana na asante sana kwa hili manake real ninapata mafunzo kwako.

hebu je niambie katika hili, umemkuta binti wa kike ni ndugu kwenye ukoo, kwatabia zake ukoo wote umemtenga ila ukaona hapana anahitaj faraja kama binadamu. umejitahidi sana kumfanya abadilike na wewe ukimtizama kwa macho ya kibinadamu unaona kweli amebadilika na toka uanze hiyo kazi ni kama 2 yrs sasa.

sasa siku unamtuma kwa ndugu mwingine, sehem ambayo ni mbali itakayo mlazimu kulala huko, ndugu anasema simtaki kwani hata unipe nini siamin kwamba huyu mtu kabadilika kibaya zaid ndugu anampigia simu binti na kumwambia kwamba aache unafki hawez kubadilika.

binti anaumia sana na kujiona kama jamii haimpendi tena na anajiona mkosa sana asiye stahili hata kuish je wewe kama ndo mlez wake utafanyaje hapo? kumbuka kuna ugomvi unaoweza kutokea iwapo utaendeleza mjadala.

nisamehe sana kwa maneno mengi but pse sema neno hapa.

Yaani ni kama unanijua, maana nina niece ambaye nafurahi kutumia neno alikuwa kama hivyo au zaidi. Nitakusimulia what happened hadi imekuwa past tense; kwa muda, l got to run out of the office. Jioni nitakupa all the details jinsi gani tulijaribu na mwisho Mungu akajibu kwa muda wake na kwa njia zake.

Stay blessed dear!
 
kazi njema nakusubiri kwa hamu sana ma dearest.
 
Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?
tunaamini kuwa tabia mbaya ndio inaonesha range ya mtu (what he can potentially do), so hata akibadilika bado watu wana kumbukumbu ya 'alifanya jambo ------' ambayo ni ngumu kuifuta, halafu tuaamini 'triggers' zinazoleta tabia mbaya zaweza rudi na kumfanya mtu arudie kwenye ubaya wake. mfano mie napenda wanawake (player) siku ni-settle bado watu watadhani kuwa akitokea dada mzuri zaidi ya nliyenae then i'll regress to playboyhood.
 
Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?

yo dont need to tak abt yo changes, the way yo act tak much
 
pole sana!
kwani ni mpaka iwe ni mm ndo unaweza kushauri? what if sio mimi il akuna mtu nataka apone kupitia hii post?
i dont think it to be worth knowing inaamuhusu nani. am sorry for that
 
Ukibadili tabia kutoka mbaya na kuwa nzuri
Usifanye kwa ajili ya watu wengine
Fanya kwa ajili yako na nafsi yako
Utakuwa na amani zaidi kuliko kutegemea watu wa nje wakuamini

Uaminifu ukivunjwa ni ngumu kurudishwa.
 
Nahitaji delivalensi ya hii kitu aisee
Kama na za akina Bishanga, Mtoboasiri, Asprini zinahesabiwa, bado wa mtaani, wa kazini, wa sokoni, wateja.

Deliverance tunaweza kusema kufunguliwa,
Shetani ni author wa ubaya wote duniani, na huwa ana kitu ambacho anakitumia kujiattach na yule ambaye anamtaka, some of us inaweza kuwa kiburi, wengine uoga, wivu, tamaa, ulevi, flirting n.k. Sasa hivyo vitu viko ndani sana yetu kiasi kwamba tunashindwa hata kujitofautisha navyo. Hujawahi kuona mtu ni mdokozi tu na hata kama kwao wanazo (kleptomaniac), mtu kama huyo kwa nguvu zake hawezi jitoa katika hiyo hali ingawa anapenda kuacha, so watu wa namna hiyo njia pekee ya kujitoa ni kuvunjwa hiyo minyororo ambayo shetani kajiattach nayo kwa njia ya maombi ya kujifungua (derivalance).

nafikiri nimejitahidi kujieleza, na utakuwa umeelewa kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji delivalensi ya hii kitu aisee
Kama na za akina Bishanga, Mtoboasiri, Asprini zinahesabiwa, bado wa mtaani, wa kazini, wa sokoni, wateja.

Wewe Kongosho wewe! Yaani mumeo (and that is ME) unamuweka kikaango kimoja na Bishanga!!!!!! Natafuta kamba ya mgomba nijitundike, huu ni udhalilishwaji wa kijinsia. Haki ya mama vile!
 
Back
Top Bottom