hebu fungukeni hapa............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hebu fungukeni hapa............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by manshiroo, Oct 16, 2012.

 1. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  matendo huongea zaidi ya maneno...
  kitendo cha kubadilika tabia chapaswa kuambatana na matendo ili kuondoa wasiwasi wa awali utokanao na fikra za tabia awali.
  "maneno matupu hayavunji mfupa"
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  hili ni swali zuri sana na natamani hapa kumwona boss na mzee wetu DARKCITY wakitupia nondo zao.
  ila ngoja nifunguke kidogo,
  kikawaida binadamu anaweza sana kubadilika ila mara nyingi sana tunategemea mtu abadilike zaid kutoka tabia njema kwenda mbaya kuliko kinyume chake. hii ni kweli na ndio maana mtu akikosea basi utaskia hilo nilitegemea kwamba angelifanya.

  watu hutegemea mabaya zaid kuliko mazuri kwani ndivyo tulivyojiamisha kutokana na wazo la wasiwasi kipimo cha akili, so mara zote watu tunahofu na kinachoweza kutokea.

  inapotokea mtu ukabadilika kutoka tabia mbaya kwenda njema basi watu hofu ama wasiwasi wao huzid zaid kutokana na kwamba wanategemea matendo yako yabadilike pia. na hata kam ayatabadilika basi pia wasiwasi lazima. ni tabia mabayo ni mbaya na kiukweli hukatisha tamaa sana hasa ya kuish katika jamii uliyoizoea.

  mfano kijana mwizi hata kama ataacha wizi so long as jamii ilishamjua alikuwa mwizi basi itaendelea kuish nae kwa staili hiyo tu. hata kama haibi ila hofu bad inakuwepo tu na si kazi nyepesi kuondoa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukumbuke pia na shetani anakuwa anafanya overtime kwa mtu wa aina hiyo ili tu arudishwe kwenye mambo yake ya kale kwa kukatishwa tamaa na watu wake wa karibu kuwa hawezi kubadilika.
   
 5. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,030
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280

  Mgonjwa wa akili hutumia dawa maisha yake yote ndio sababu watu hudai kichaa haponi ila hupata nafuu tu!

  Think loud, clear and out da box you will find a correct answer.

  Bazazi!
   
 6. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nafikir pple do differ in the way, they think sasa hebu niambie inamaana tabia mbaya aliyo nayo mtu hawez kubadilika kabisa? manake hata hicho kichaa unachokisema chaweza kutibika pia na kikapona kabisa.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Trust ikishapotea kuirudisha kazi sana, wajanja tunahakikisha hatupotezi hiyo trust in a first place.
   
 8. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hivi dada yangu MwanajamiiOne, kwanini jamii haitumiki kama misingi ya kumsaidia mtu kubadilika? kwa kumti moyo na kumfariji?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaunga imebidi nitabasamu kwanza, unalosema ni kweli kabisa lakin pia kumbuka kuna tabia nyingine katika jamii ambazo ni circumstantial tu na hasa mazingira yana influence sana hizi tabia, what would you say?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  je wafikir hata kama atabadilika kimatendo bado jamii itamuona kama mwenzao?
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  what else can i say?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mimi niko very optimistic mara nyingi, na huwa nina amini kuwa kila binadamu ni mwema au anakichembe japo kidogo cha wema; ni rahisi kwangu kufikiria kuwa mtu anaweza badilika.

  Lakini kwa wale pessimistic wanahitaji muda wa kukuchunguza ili wajihakikishie kuwa umebadilika. Hivyo ukikutana na watuwa namna hii, utahitaji nguvu za ziada kuwaaminisha kuwa you are a changed person.
   
 13. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  you can still say something Angel Msoffe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi sina jibu zaidi ya kusema ni kazi za shetani kuhakikisha hunyanyuki toka pale ulipoanguka. Hivi hujaona ukiamua kuacha jambo baya ndivyo ushawishi wa kuendelea unavyokuwa mkubwa?? Kama unaacha sigara basi utashangaa hata wale ambao walikuwa hawakupi vipisi wanakununulia kabisa pakiti.

  Nadhani matendo yako ndio yanayopaswa kudhihirisha ubadilikaji wako than kutegemea wadau wakusaidie. Hebu nambie kama ulikuwa mteja wa Kona bar, halafu unaamua kuacha lakini bado unategemea mteja mwenzio ambaye bado hajaacha akusaidie kuacha kabisa???? ni ndoto.
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  VIBAYA VITAMUUU HIVOOOO!!! Asikwambie mtu!!!! Kuviacha kwa muda inawezekana ila kuviacha jumlajumla ni IMPOSSIBLE!!!!! TABIA MBAYA MBAYA NDO MPANGO MZIMAAAA! Kwanza una enjoy, pili unapata sifa za kijinga, tatu u never get bored kuvifanya. Tofauti kabisa na mema with the exeption tu kuwa mola katuagiza tufanye.!!!!

  Ubaya mwengine ndo maana umekuwa common umekuwa legalized na jamii!!!. Afu ubaya na uzuri unategemea perspective unayouangalia!!!!! Vibaya kwa wengine kwetu sie fashion. Na vizuri kwetu kwa wengine fashion.

  Mf. Wizi wa kuongeza bei, kukwepa kodi, kuchakachua bidhaa, kwa wateja na gvt ni tabia chafu sanaaa ila kwa sie wafanya biashara huo ndo mpango mzima hatujaja kushangaa magorofa.

  Binti anevaa vimino, platform, lesswig, clivage wazi kwa kino huyo ndo born here here na bonge ya mjanja full of potential za kutoka kimaisha ila binti huyo huyo ukimyupia chamazi anaonekana KASHINDIKANA!!!!

  Kutiririsha bier na nyama choma baada ya kazi kimujini kwa vijana wa muji ndo mpango mzima, na ndo unaonekana classic ofisini ila kwa watu wastaarabu un aonekana umepotea longi, hiyo hela si bora ungenunua ki plot ujenge?

  It all depends on the perspective.
   
 16. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hivi nini ambacho kinaweza kutumika kuwaahikishia watu ambao ni pessimistic kwamba now am a changed person?
   
 17. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MwanajamiiOne dada yangu naona kama wataka kunikimbia but b4 leaving just tell me nini akifanye mtu anayetaka kubadilika hasa ili pia jamii imkubali? na mnd you hapa namuaongelea yule mtu ambaye tabia yake ilikuwa mbaya sana ambayo haivumiliki kabisa katika jamii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kila mtu ana utashi wa kuchagua kutenda mema au mabaya. Haya tufanye mazingira yamekubana sijui umelazimika kuiba au kucheat, au labda makundi ya vijana yamekuinfluence ukajiingiza kwenye drugs, au wamama/mashangingi wamekuinfluence ukajiingiza kwenye ushirikina (dawa za mapenzi); kitendo tu cha wewe kushawishiwa maana yake hauna values zako mwenyewe. Sasa kuja kubadilika hadi uwe na moral values zako unazoweza kuzisimamia no matter what, inahitaji kazi kubwa sana (naweza ita deliverance), maana bila ya kuwa na mabadiliko katika values zako na uwezo wa kuzisimamia, hiyo change yako itakuwa very temporal, maana mazingira yakija kukuinfluence tena, utarudi kule kule; so can you blame some people for not trusting you?

  Ndio maana counseling na positive influence inahitajika sana ili kukujenga inside ili ujue nini unachokihitaji na uweze kukisimamia.
   
 19. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  bidada unaonekana mmmh!

  haya ila hata kama haya ni kulingana na mtazamo wa mtu but kuna tabia ambazo zinajulikana kabisa hizi ni mbaya katika jamii. anyways mie nataka kujua kwanini mtu anapobadilika kutoka katika tabia hii mbaya bado jamii humuhesabu mkosa?
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nia kubadilika, badilika kwa nia kimatendo zaidi na GIVE IT TIME.
   
Loading...