Hebu angalia wanaopaswa kulipwa kodi ya makalio wanavyojihimu kuupiga usingizi

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
posh.jpg Hivi hapa kweli nani anapaswa kulipwa zaidi ya mwingine?
 
kweli hapo hamna uhalali...
unasinzia/kulala kabisa = unasaini kwa siku 200,000
unateseka kwa kuhangaika kuokoa maisha ya watu, huku ukifanya night shift calls - unasaini 10,000 kwa siku.
 
REJAO! PICS HIZI ZINAKUUHI?EHHEEEEEEE!!!!!!
Lakini si ukweli?
they have nothing to do with me! Ila naona kero kitu hicho hicho kurudiwa kila siku!
Napenda kuona vitu vipya na wala si duplicates!
 
they have nothing to do with me! Ila naona kero kitu hicho hicho kurudiwa kila siku!
Napenda kuona vitu vipya na wala si duplicates!

mkuurejeo naona umekosa macho ya kuona kile tunachokiona wenzako kuwa kipya ktk ujumbe huo.
 
they have nothing to do with me! Ila naona kero kitu hicho hicho kurudiwa kila siku!
Napenda kuona vitu vipya na wala si duplicates!
Wewe jipya huna? haya angalia hii.........hii mupya kabisa toka bungeni leo!!!

images
kikwete+msibani.jpg
 
Utakutaka mchangiaji alikuwa magwanda, anachangia utumbo na huyo Mzee akaamuwa kususa!
 
Hahahaha naam! hakika wanastahili laki tatu na "ulfu" thelathini. Wao ni kada muhimu hawastahili kugoma!
 
kikwete+msibani.jpg

Lowasa anamcheki best wake anavyochapa usingizi mbele ya halaiki. Ukiwa mfalme watu hawakosi kukukodolea macho, hapa umati wote hawajui anayelala usingizi usiku hana muda wa kutumia kitanda hcake?
 
Back
Top Bottom