Heaven on Eath..Nakutaka

Heaven on Eath..Nakutaka

Huyu binti aliniambia anatafuta mzee.

Alihadithia na Zahra White mikito ya wazee ikampa hamasa.

Kama wewe ni mzee poa, vinginevyo naona kibuti kinanukia.

Go go.
 
Last edited by a moderator:
heeee heeee chezea maloveeee mtu amesahau hadi ametutajia jina la kwenye birth certificate. hivi Heaven on earth una kizizi ama! mbona wapendwa hivi?
 
Last edited by a moderator:
kuchora moyo na kuweka mshale kati pale
barua inamapungufu kbao kama hutaongeza yafuatayo szani kama atakuelewa!
1.sili silali nakuwaza ww tu
2.Nakuota ww tu kila siku
3. Nikinywa maji nakuona kweny glass
4.nikisikia jina lako tu moyo wangu unadundadunda cku zngne unapasuka kabsa
NB.umesahau kuchora moyo
 
Cantalisia chezea kudondokewa na moyo wa mtu.......nimeacha shughuli zote nimekuja kumsikiliza yeye.....

Lakini mdogo wangu Heaven on earth mbona mahari tushakula sie?Au huyu anatafuta kumwagiwa tindikali?Maana shem ninavyomjua,toka mchana anatembea na kopo sijui ni la tindikali!!Bamkubwa Kaizer ebu mueleze huyu kijana anaipenda kweli ngozi yake!
 
my kaka sungura1980 huwezi jua mnaweza kula mahari nyingine

mwenye dada hakosi MAshemeji sio shemeji MASHEMEJI........
 
Last edited by a moderator:
my kaka sungura1980 huwezi jua mnaweza kula mahari nyingine

mwenye dada hakosi MAshemeji sio shemeji MASHEMEJI........

Hahahaaa,ninachokupendea mdogo wangu ndo hicho,ujasiriamali!Huu mwaka hadi uishe tutakuwa tumeishapata mtaji wa kuwekeza kwenye gesi ya Mtwara,nani kasema wazawa hatuna hela!
 
Last edited by a moderator:
Huyu binti aliniambia anatafuta mzee.

Alihadithia na Zahra White mikito ya wazee ikampa hamasa.

Kama wewe ni mzee poa, vinginevyo naona kibuti kinanukia.

Go go.
Mzee kwa nini unanisemea...........

siku nyingine upunguze kihere here utakosesha wenzio bahati bure
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom