haha hahaaaaaa! umekumbusha kitu muhimukuchora moyo na kuweka mshale kati pale
Martin Andekithye anathema kampenda thana hevenoneth
hivi Lady doctor unajua Arushaone alipo.
haha hahaaaaaa! umekumbusha kitu muhimu
Muache kijana anipende hadharani bana.........
haya mambo yanataka utaalamu heheheeee + jeuri tu lazma akubali tu!!ulishafanyaga ee?
Haya amekusikia mkuu, sasa sema unataka sh ngapi ili usimpende!
Mzee kwa nini unanisemea...........
siku nyingine upunguze kihere here utakosesha wenzio bahati bure
Mzee unayajua maneno ya kashfa au umeongea tu......Heaven on earth. Na uzee wangu wote huu napata maneno ya fedheha namna hii.