Heaven on Earth, heaven on desert anakuharibia jina

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
Huyu dogo anakuharibia jina sana ... mtu akiangalia haraka post yoyote iliyopostiwa naye hushtuka na kusema huyu ni H.O.E kweli?? Ukija kuangalia vizuri kumbe ni H o d basi unapumua na kusonya, anakuharibia status mno..!
 
Mbali na kumharibia, kwa lugha nyepesi "anamvuruga!" si eti ?
H. O. E ni kweli unavurugwa?
 
Huyu dogo anakuharibia jina sana ... mtu akiangalia haraka post yoyote iliyopostiwa naye hushtuka na kusema huyu ni H.O.E kweli?? Ukija kuangalia vizuri kumbe ni H o d basi unapumua na kusonya, anakuharibia status mno..!

kati ya wewe na H.O.D mmoja ni mchochezi!
 
Weka sie akina tomato tuweze kupapasa kwa mikono yetu ili tuone.
 
Unatafuta umaarufu kupitia ID za watu
jipange sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…