Mamndenyi tambua Heaven on Earth kummiliki yahitaji wallet nzito kama zetu akina Slave na papaa Chimbuvu au yule mzee wa kanyigo Bishanga wengine ni kupast time tu.Salaam sana wana CC wote;
Nimefanya utafiti wa kina kuhusu tangazo la Judgement la kusudio la kupata mwenzi huku mjengoni
na kabla hajatoa hitimisho Judgement akatoweka mazima.
Kabla ya lile bandiko inaonyesha kuwa Judgement alikuwa karibu sana na Heaven on Earth;
Swali kwa bi dada Heaven on Earth, yuko wapi yule bwana harusi mtarajiwa?
Hivi ni kweli,
Mi nikajua umemhifadhi chupani.
Mwambieni akuje huku. Au bado kazira.
Ndege inasakwa na magari sasa. Pengine atapitia humu ausemee moyo wake.
Mwangalieni huko aliko arudi tu huku jamani, looooh.
Hongera sana huyo mtoto mnafanana,
ni koku nani huyo?