Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
Ila ana kamvuto. Diamond atakuwa anafaidi sana yale mambo yetu. Shiiii usimwambie mtu.

Huyu dogo kuna dalili 99% kuwa wanampakua mbolea walah, sio bure.
 
HOD hautugawii tishirt mashabiki wako mim,smile,evelyn salt,
 
Nilikua sijui miss neddy inabidi watugonge na muhuri hapo getini. Na wewe tangu asubuhi sijakuona na wala hujatoa taarifa kama umerudi....

hahahahaha umeona eeeh mimi nikitoka huwa narudi kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha umeona eeeh mimi nikitoka huwa narudi kimya kimya

Umeona eeeh unavunja sheria za jf, unatakiwa ukirudi unaanzisha thread kama sasa umerudi ulikua unapika mboga, au ulikua unafua eee kitu kama icho
 
Umeona eeeh unavunja sheria za jf, unatakiwa ukirudi unaanzisha thread kama sasa umerudi ulikua unapika mboga, au ulikua unafua eee kitu kama icho

hahahahahaha hata kama nilikuwa nampetipeti Excel nitoe taarifa kweli?????,
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa nashangaa huyo wajina wako kama vile hakufagilii sana.

Ni kawaida tu ucjari,watu kama hawa nakutana nao wengi sana,tena tunaoonana ,wacha huyu ambae hata cjui anafanana na kiazi mbatata ama kiazi kitamu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…