heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
hongera !nahapo unasubiri akulipie bili pia
Kamata umma mkono wa shoto
Division five wewe...... kisa uliona kila mtu anashika uma upande wa kushoto basi ukajua kanuni au sio.wengine ni left hand. FYI
Kwa hyo una2onyesha ili iweje?ushamba mwingne bana.
Haha Haha mkuu mbona povu ...
Haha Haha mkuu mbona povu ...
Bosi wake si amnunulie na yeye chain hata ya Silver jamani??
Unajua hata mie nimeshangaa kidogo nikajiuliza..nikajaribu hata kujiweka kwenye hiyo picha, bado nikaona 'uma uko mkono wa kulia' na 'kisu kiko mkono wa kushoto'! Kriss-Kross ya wenzetu wa table manners... heaven on desert, ilikuwaje!?Kamata umma mkono wa shoto