Pole sana Masaki kwa kuumizwa tena kimapenzi. Inauma sana unapoumizwa kimapenzi hasa pale ambapo uliyempenda ulikuwa na nia ya kufunga naye pingu za maisha na tarehe imeshapangwa. Mungu akupe uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu kwako.
Asante sana BAK! Honestly, its 4:46am here in Dar now and I can't sleep! My heart is crying!
Pole sana Mkuu. Jaribu kuwa mvumilivu Mkuu ili usifanye chochote cha kujiumiza zaidi na pia kuwaumiza ndugu, jamaa na marafiki zako wa karibu. Pole sana.
Nitazingatia ushauri wako. Asante sana! Dunia kweli ni tambara bovu, wahenga walisema!
Ndugu yangu Masaki, watu wengi tulipitia huko, na japokuwa hatuwezi kusema kuwa tuli-cover syllabuses za kuumizwa mioyo, ila experience is a very good teacher. Japokuwa ni human nature kuangalia kipi kilikwenda wrong, ila sikushauri hilo, maana utazidi kujiumiza. Endelea na maisha yako kaka, chukulia kuwa hayo ni mapito, and trust me, you have been removed from the boggest tragedy had you gone through that wedding plan. Better now than later. You will find the right woman, who will be of your standards, and who will fit into your life, and when that time comes, you will be glad that all these have happened. I always believe for the better next time. It helped, and am sure it will help you too. Time is the best remedy for broken hearted. Take your time doing other things, go out with friends, do what you find interesting, don't sit alone regretting...and you will be okay.
pole ndio maisha, umeanguka, simama jikung'ute vumbi endelea na safari. ila hujatupa stori kamili, ilikuwajeReal tears are not those that fall from the eyes and cover the face, but are those that fall from the heart and cover the soul.
I don't have tears on my face but my heart is crying tonight. Nami namuomba sana Mungu awape wanawake hekima ya kutambua na kuheshimu hisia za wenzao. Wawe na busara ya kutambua na kuheshimu hisia zilizopo kwenye mioyo ya wenzi wao! Four years in a relationship have vanished in matter of few days! Worse enough na tarehe ya harusi ilishapangwa. I AM HEART BROKEN AGAIN!! For the second time!! Last time was 2005, I wasted so many years trying to recover and also learn to trust women again. It took time and eventually my heart was softer enought to love again! Now see what I have got from a woman tonight! NOTHING BUT PAIN!!
Pengine kuna tatizo lilijificha ambalo silifahamu. Kwa upande wangu kama mwanaume na kama binadamu mwenye mapungufu yake, inawezekana kabisa nimewahi kuwakwaza au kuwaumiza baadhi ya wanawake katika hisia zao. From the bottom of my heart, namuomba Mungu anisamehe pale ambapo niliwahi kumuumiza mwanamke katika mapenzi na hisia zake!
Pole sweetlol, huu mwezi ni wa broken heart tu, sijui sababu wanafunzi wamefunga wamerudi makwao kwa hiyo wanaingilia tu mahusiano ya watu, hhahahaa joke.....nakumbuka tena kuna msichana alianzisha thead ya kuvunjwa moyo....poleni sanasanapole sana Masaki.this is lyf.nimefurah kumbe da same tym nasafa na ww ulikua unaumia.usiwalaumu sana wanawake coz hatawanaume mnaumiza kupitakiasi.am heart broken too najana ndo ilikua mbaya kuliko zote.ila nikujipa moyo nakusongesha,lets belive kwamba waletuliopangiwa kuishi nao tena kwa furaha bado tujakutana nao.nakuombea ujasiri katika hilo.