headphones zamwumbua jamaa

headphones zamwumbua jamaa

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Jamaa alkuwa ndani ya daladala, tumbo likaanza kumsumbua coz ya gesi.Jamaa akaona bora ajambe kwa kufuata biti la mziki. Jamaa kweli kajamba kufuata biti na tumbo lka2lia.Alipokuwa akishuka akashangaa kuona wa2 wanamshangaa kchizi, jamaa ndio akakumbuka kuwa ameva headphones ,mziki alikuwa akisikia mwenyewe.
 
Alifanya makusudi na ndo maana alishuka faster, machizi wa hivyo wapo wengi2.
 
Umecopy kutoka kwa Fredwaa wa RFA amekisema asubuhi leo!

Fredwaa ni noma, nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunaenda na viredio class ili tusikie kipindi chake cha asubuhi, ticha akiingia mnamaindi sana.
 
Huyo fredwaa pia kakirudia alishakitoa ktambo kama miaka miwili iliyopita
 
Umecopy kutoka kwa Fredwaa wa RFA amekisema asubuhi leo!


Sioni tatizo ku copy, kwani jokes nyingi huwa zimesikika before na huwa hazitungwi na wasimuliaji, ingawa joke hii sioni kama inachekesha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom