Kwa maneno yako haya nimeku
💉💉💉
😀😀😀
Cocochanel ni bonge la JF GT.
Hii mimi penda sana kutoa nyoka pangoni.. 😀😀😀.. Cocochanel mburudikaji wa JF kwa akili supa kubwa.. mimi sio wa muchezo muchezo..
Nimekumbuka thread yako moja ndio maana.. sitabadilisha lolote nimeandika tayari.
Pole na pokea sentensi uliyoandika mwisho kwa msisitizo.. hiyo hiyo hiyoooooo inarudi inarudi inarudi.. itatoa na maisha ya kuwa mchuma.. pokea na hii tena juu 💉😀💃🏽
Mimi nina wasiwasi huyu Cocochanel anaweza kuwa ni LEMUTUZ.Kwa maneno yako haya nimeku
[emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Cocochanel ni bonge la JF GT.
Hii mimi penda sana kutoa nyoka pangoni.. [emoji3][emoji3][emoji3].. Cocochanel mburudikaji wa JF kwa akili supa kubwa.. mimi sio wa muchezo muchezo..
Nimekumbuka thread yako moja ndio maana.. sitabadilisha lolote nimeandika tayari.
Pole na pokea sentensi uliyoandika mwisho kwa msisitizo.. hiyo hiyo hiyoooooo inarudi inarudi inarudi.. itatoa na maisha ya kuwa mchuma.. pokea na hii tena juu [emoji382][emoji3][emoji1437]
Wacha tujadiliane Mada wenyewe na tutoe conclusion, siasa ngumu, biashara kodi juu, ndoa ndo hivyo tena hata usingizi hakuna
Usisahau...fikra sahihiKudumu Chama cha mapinduzi. ..zidumu fikira za mwenye kiti. ...CCM Oyeeeeee
Usisahau...fikra sahihi
Mimi nina wasiwasi huyu Cocochanel anaweza kuwa ni LEMUTUZ.
foolishSiku akianza kuongea ukweli wa kinachojiri.. mtachimba mashimo mjifukie nyie wapambe wafata upepo.. hamuna jingine.. kudakia dakia tu
Hapa kazi tu