He is GUILTY

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,668
Reaction score
33,692
Wakuu matukio ya kutekana/ kujeruhiwa ama kutaka kuuliwa yamekua prevalent sana katika serikali hii ya awamu ya tano,

Cha kushangaza,mkuu Jiwe kakaa kimyaaa, hata kuyaropokea kama anavyofanyaga kwenye mambo mengine , hajafanya hivyo ...

Huu ukimya wake mnautafsiri vipi?? Is he guilty??

Hofu yangu kuu ni kwa wale walioonewa kutaka revenge,na nina hisi muda wowote kuanzia sasa tutaona reverse pattern vijana wanaoisifia serikali akina Paskali, Musiba hata ndugu wa Rais wetu mchukue tahadhari,mnaweza mkawa mnaisifia serikali Mkidhani mna haki ya kufanya hivyo ila mkumbuke climate imebadilika, haki/rights haziheshimiwi Tena...mtu ambae mmemteka nearly apoteze maisha, Anakua hana cha kuhofia tena...na akiamua revenge ni revenge haswaa.....mkumbuke pia sio lazima hao wahusika mliowateka ndio walipe kisasi, kuna ndugu,marafiki ama just followers ambao wanaweza kujipa jukumu la kulipa kisasi,,,,ninachotaka kusema SOON ...tutaanza kuona mengine yanayoshangaza
 
Ni 12:49am hapa nilipo, nipo active kweli honey wangu, kukuelewa ni lazima

Wacha tuijaze topic wenyewe hahaaaa,naona hakuna wachangiaji, inamaana wenye shida ni mimi na wewe tu honey??? Watu wanatoa wapi usingizi Jamani??? Lol
 
Wacha tuijaze topic wenyewe hahaaaa,naona hakuna wachangiaji, inamaana wenye shida ni mimi na wewe tu honey??? Watu wanatoa wapi usingizi Jamani??? Lol

We waache, unaonaje baby tuingie kwenye Mada sasa?
 
Mi ninvyofikiri hapa hakuna namna zaidi ya kuongeza Sala tu..... kila mtu amlilie Mungu kwa Dini yake ili awasaidie hawa viongozi wetu
 
Mi ninvyofikiri hapa hakuna namna zaidi ya kuongeza Sala tu..... kila mtu amlilie Mungu kwa Dini yake ili awasaidie hawa viongozi wetu

Ni sala tu honey,sidhani Kama tushawahi kuwa na hofu namna hii...siku atakaponyanyuka na ku acknowledge tuna hili tatizo ndio nitaamini hana mkono wake kwa yanayoendelea
 
Ni sala tu honey,sidhani Kama tushawahi kuwa na hofu namna hii...siku atakaponyanyuka na ku acknowledge tuna hili tatizo ndio nitaamini hana mkono wake kwa yanayoendelea

Ndiyo hivyo.... sasa honey.... nafikiri mengine tujadili private tutoke online, watoto wameshalala sasa labda yatatuletea usingizi
 
Hahaahahahaha mmenifurahisha majibizano yenu. kiukweli huyu dingi kwa mtu mwenye utimamu anaelewa vzr kwanini yuko kimya,haihitaji kujiuliza sana.ila sijawahi kuona kiongozi mnafiki Kama huyu mzee,na utu uzima huu sijawahi.utashangaa tu siku moja atavyozungumzia haya mambo.yani utadhani ndo ameibukia Tanzania baada ya kutoka pangoni..ref issue ya mo alivyoizungumzia kujiosha.
 

Tunakukaribisha na wewe, tuvute subisa has a pale ambapo hatuna la kufanya, ni Sala na kungoja mwalimu anayeitwa mda atupe darasa.... kila jibu hupatikani kwenye mda fulani
 
Ndoto zako hizi kaote tena.. maana ni porojo mojawapo ya karne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…