He he he swaga za porisi anavyotongoza

He he he swaga za porisi anavyotongoza

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
hizi ndo swaga za askari mmoja anatongoza kwenye simu yaani mpaka unacheka

haroo wewe hebu kuja haraka unajua nakuthamini sana kama rushwa bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa bunduki eneo la tukio nitakuheshimu kama ninavyoheshimu lindo wewe si ndio C-R-O wa moyo wangu....mbona upo kimya nijib bas nipate kufungua jalada ndani ya moyo wako usinifanye moyo ukaenda mbio kama difenda ntakuweka salama kama msafara wa raisi
 
Na ukinzngua nita kuMwangosi
 
Hayaaa we kuwa na utani na hawa wajeda 'watakumwangosi' ....mmmmm mie nakuonea huruma??!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom