😂🤣😆😆Pole,Nani kakudanganya kuwa mwanaume hasifiwi?????
Tuna miezi mitatu ila kwa taarifa yako week inatosha kujua ni MSANII AU MUME
Sent using Jamii Forums mobile app
Madamu hainidhuru ,niache nayo tuSasa ushamba ni sifa nzuri dadaaa??-- pole sana.
Akuu.... Mimi nawatakia all the best
SanaaaaaaaMtu katafuta mpaka kachoka anaamua kujifariji kwa thread JF.
Raha sana
Siyo wewe yule wa juuAkuu.... Mimi nawatakia all the best
Hahahauahhahahahahaahahah ngoja nimuulizeweweeeeeeeeeeeeeeeeeee! acha kabisa inaelekea huyu mwanaume kapenda vipande viwili kwa mujibu wa mkuu wa mkoa
weweeeeeeeeeeeeeeeeeee! acha kabisa inaelekea huyu mwanaume kapenda vipande viwili kwa mujibu wa mkuu wa mkoa
Na mimi sipingani na hilomungu anipendaa kuliko awae yeyote narekelemo
anajua aliyenayeKipande cha kwanza ni kipi na cha pili ni kipi??.
Tusiombe hayowabongo bwana..ngoja tuhifadhi siku japo siyo nakuombea mabaya lakini yamkini siku moja ukaja umeandika ki Vietnam humu ndani
Nina mchecheto