He game nashinda?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Mi mwenye kete nyeupe!
Screenshot_20181224-212120.jpeg
 
huo msitary wa ikweta mbona umegeuzwa?,
halafu kama ni British,ama french umeshinda,lakini German umepigwa ,anaemaliza kwanza ndo mshindi
 
Draft.... Huu mchezo niliucheza sana na kaka zangu huku nimevaa big Mac ya kikaptura.....

Utoto raha sana, saa hizi inabidi nifundishwe tena ndo niweze kuucheza.
 
Huwa nacheza na kiumbe anaitwa CANDIDATE ananifua balaa.
Hasira zote namalizia kwa EXPERT.
Hii game unafunga au draw.
 
Draft.... Huu mchezo niliucheza sana na kaka zangu wa kiume huku nimevaa big Mac ya kikaptura.....

Utoto raha sana, saa hizi inabidi nifundishwe tena ndo niweze kuucheza.
Ingawa huwa nakuhusudu sana lakini leo nisamehe tu , eti umesema kaka zako wa kiume? mmmh
 
Ingawa huwa nakuhusudu sana lakini leo nisamehe tu , eti umesema kaka zako wa kiume? mmmh

It happens sometimes, mind iko fast kuelezea ambacho vidole inatakiwa kuandika. It happens vidole vinasahau baadhi ya maneno na kuacha lugha kuwa gongana.
 
It happens sometimes, mind iko fast kuelezea ambacho vidole inatakiwa kuandika. It happens vidole vinasahau baadhi ya maneno na kuacha lugha kuwa gongana.
Sawa kabisa nimeeelewa. Nilikuwa nakukwarua tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom