HDMI Cable vs Digital optical audio

Well, chagua movie yoyote chagua yenye 1080p na hakikisha pale mbele kuna 5.1 kwenye tittle ya movie. na mara nyingi ukubwa wake huwa unaanzia 2gb pia hqkikisha movie ni ya action au vita ili uinjoy sound vizuri


Pia kwenye zile surruound spika zako hakikisha umeziweka nyuma, mwisho wa sebule yan ww ukikaa uwe kati

see picture
View attachment 1655026

Nmekusoma shukran sana tajir
 
Toa nondo,Toa nondo mkuu.

Hivi mtu akitaka muziki mzuri nyumbani wewe ungemshauri anunue nini?..HT,Hi-Fi system au nini mkuu

Tupe preference yako

inategemea na lengo mkuu. kama ni movies ni HT kama ni Mziki ni HiFi

ila nashauri tumia HT maana inapiga vizuri kote kote
 
Wana tech wa humu ndani leo nina swali lenu, hivi ipi ni tofauti kati ya hdmi na digital optical cable??. Ipi ina higher resolution sound? Kuna watu wanakwambia hdmi wengine digital.

Mimi nina cable zote lkn bado nakosa choice nitumie ipi kwenye na home thieta. Nasubiri majibu yenu wakuu.View attachment 1654911

View attachment 1654912
Kuna jambo moja mkuu zote hizi zina version, unaweza kuwa na hdmi ya kizamani usione faida yake na unaweza kuwa na mpya ikakupa faida sana.

Hdmi 2.1 ni next level mambo yote ya kisasa kama low latency audio, I naweza ku run 7.1 Un compressed kwa studio quality.
 
Umeniketa kwenye Anga zangu

Tumia HDMI cable hasa ni kama version 2.0 maana ina bandwidth kubwa ya kusafirisha data cha msingi ni kuhakikisha Rdaio yako na tv yao zina sifa zifuatazo

HT yako iwe na - ARC Yaani audio return chanel
TV yako iwe na ARC pia/ HDMI audio out


View attachment 1654936
Optical mwisho wake ni 5.1 surround na HDMI inabeba hadi akina Dolby atmos na kina DTS X
ambao ni 5.1.2 na 7.2.4 na kuendelea

Najua nuapata shida wapi unahitaji kuplay video yako aither kwenye HT au TV.

HT nyingi haziwezi play videos kubwa hii sijui ni kwa nn. badala yake unatakiwa kuplay kwa kutumia TV angalau inaplay vitu vingi.

angalizo langu ili upate Efects kuna mambo matatu

1. Hakikisha Home theatre yako kwenye HDMI out yake kuna ARC/ Audio return chanel kama haijaandikwa HDMI - ARC basi jua huna bahati na huwezi kwepa matumizi ya optical cable

2. Hakikisha TV yako ina HDMI out/ Au HDMI In - ARC. kama tv yako ni nzuri ipo hivyo unaweza pata effects

3. Content unayo play. Hii ndio facta kubwa. unaweza fanya setup yako vizuri kube video yako/ movie yako unayo play ni utopolo yani ina 2.0/ Sterio wakati unatakiwa na audio Suurround yani kuanzia 5.1 audio
View attachment 1654950


Kama una maswali mengi au kama hujaelemwa niulize. na kwa msaada zaidi wa kupata hizo movies zenye surround kuanzia 5.1 ninazo zaidi ya 60. nina external ya TB imejaa movies
View attachment 1654951
Weka no yako ili kukutafuta iwe rahisi
 
Back
Top Bottom