HDMI Cable vs Digital optical audio

Wana tech wa humu ndani leo nina swali lenu, hivi ipi ni tofauti kati ya hdmi na digital optical cable??. Ipi ina higher resolution sound? Kuna watu wanakwambia hdmi wengine digital.

Mimi nina cable zote lkn bado nakosa choice nitumie ipi kwenye na home thieta. Nasubiri majibu yenu wakuu.View attachment 1654911

View attachment 1654912
Optical cable ndo suluhisho la sound kwa sasa duniani! Amini amini nakwambia,usifananishe optical cable na cable za nyavu nyavu.
 
baba unakwama wapi sasa???
Hapo system ipo ok. Chomeka hdmi cabke hapo kwenye HDMI port 1 iyo yenye ARC


Baada ya hapo kama kwenye setting ya tv upande wa audio hakikisha ARC ipo on

Ok, kuna kitu nisaidie hapa natumia hdmi cable niliyokuta ndani ya box la HT sasa kuna hii jamaa alinambia ipo vzr kuliko ya sony yenyew unasemaje kwa hili
image-2020-12-20-10:38:25-604.jpg

Hii ndo yakununua
 
Yap, Natumiaga 1337x na piratesbay

Well, chagua movie yoyote chagua yenye 1080p na hakikisha pale mbele kuna 5.1 kwenye tittle ya movie. na mara nyingi ukubwa wake huwa unaanzia 2gb pia hqkikisha movie ni ya action au vita ili uinjoy sound vizuri


Pia kwenye zile surruound spika zako hakikisha umeziweka nyuma, mwisho wa sebule yan ww ukikaa uwe kati

see picture
IMG_4758.jpg
 
kama ni five meters ni chaka. hdmI nzuri mwish 1.5 mts ikiwa ndefu zaidi hapo ni shida. Cable ikiwa ndefu siganal zinapotea njiani. tafuta cable nzuri isizidi 2 meters. hakikisha system zako zipo karibu
sidhan kama hii ni sahihi. Nadhani inategemea na ubora nimetumia kanisani HDMI 10m ziko 4 huu mwaka wa 5 hazijawahi kuleta shida wala kupoteza channel kama unavyosema.
 
sidhan kama hii ni sahihi. Nadhani inategemea na ubora nimetumia kanisani HDMI 10m ziko 4 huu mwaka wa 5 hazijawahi kuleta shida wala kupoteza channel kama unavyosema.

sijaongelea mambo ya kupoteza channel. nimeongelea loss ya signal

na ukibishana na hili hubishani na mm unabishana na Science. The long the cable the high the latency and loss of signal is. nimemshauri ili kupata matokeo mazuri atumie HDMI fupi. kama system zipo eneo moja hakuna haja ya kuwa Cable ya metre 5
 
Back
Top Bottom