HDMI Cable vs Digital optical audio

HDMI Cable ndio yenye uwezo zaidi. Ila tatizo linakujaga kuna baadhi ya TV ukitumia HDMI ARC huwezi kupata surround sound
 
Umeniketa kwenye Anga zangu

Tumia HDMI cable hasa ni kama version 2.0 maana ina bandwidth kubwa ya kusafirisha data cha msingi ni kuhakikisha Rdaio yako na tv yao zina sifa zifuatazo

HT yako iwe na - ARC Yaani audio return chanel
TV yako iwe na ARC pia/ HDMI audio out

IMG_4670.jpg

Optical mwisho wake ni 5.1 surround na HDMI inabeba hadi akina Dolby atmos na kina DTS X
ambao ni 5.1.2 na 7.2.4 na kuendelea

Najua nuapata shida wapi unahitaji kuplay video yako aither kwenye HT au TV.

HT nyingi haziwezi play videos kubwa hii sijui ni kwa nn. badala yake unatakiwa kuplay kwa kutumia TV angalau inaplay vitu vingi.

angalizo langu ili upate Efects kuna mambo matatu

1. Hakikisha Home theatre yako kwenye HDMI out yake kuna ARC/ Audio return chanel kama haijaandikwa HDMI - ARC basi jua huna bahati na huwezi kwepa matumizi ya optical cable

2. Hakikisha TV yako ina HDMI out/ Au HDMI In - ARC. kama tv yako ni nzuri ipo hivyo unaweza pata effects

3. Content unayo play. Hii ndio facta kubwa. unaweza fanya setup yako vizuri kube video yako/ movie yako unayo play ni utopolo yani ina 2.0/ Sterio wakati unatakiwa na audio Suurround yani kuanzia 5.1 audio
IMG_4752.jpg

Kama una maswali mengi au kama hujaelemwa niulize. na kwa msaada zaidi wa kupata hizo movies zenye surround kuanzia 5.1 ninazo zaidi ya 60. nina external ya TB imejaa movies
IMG_4753.jpg
 
Umeniketa kwenye Anga zangu

Tumia HDMI cable hasa ni kama version 2.0 maana ina bandwidth kubwa ya kusafirisha data cha msingi ni kuhakikisha Rdaio yako na tv yao zina sifa zifuatazo

HT yako iwe na - ARC Yaani audio return chanel
TV yako iwe na ARC pia/ HDMI audio out

View attachment 1654936

View attachment 1654950

View attachment 1654951

Shukran kwa ufafanuzi mzuri, mimi nina sony HT soundbar watt600 sijui inasupport hapa
 
Mkuu inasupport HT ina ARC
IMG_7681.jpg
 
Sijui kama unanelewa. unaweza zitenganisha kila mija ikasimama peke yake ukapata spika tatu tofauti yaani

Front left

Front right

na Center
??

Au zimeungaja azifunguki
 
sawa vizuri. kama ni hivyo hiyo ni home theatre thou wamekubania kuziunganisha hizo speaker kwenye bar bila kuwa na option ya kuzichimoa.

Anyway sio mbaya hapo sasa tuhamie kwenye TV yako.

Je TV yako ina HDMI - ARC??

Imekamilika ina HDMI cable 3 pmoja na hio ARC
image-2020-12-20-10:28:29-198.jpg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom