Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
- Thread starter
- #101
Hatari sanaYaaanii
Hatari sanaYaaanii
Jichagulie tu wewe mwenyewe,lolote tyu lafaa
Mbona nilishakuja shem
ShemMmmmh
Muanzishie wewe shem wetuLeo mahaba tu jamani. Sijui na mie beb atanianzishia uzi
hongera mkuu,ukipata chance we jilie vyako tuu maisha yenyewe yako wapiKama saivi yko moto kweli kweli
Yan nlimaanisha mtu ambye nakutana maye mtandaoni ni kazi kwangu kumuamini. Unaweza kwenda piemu kumbe dume linakuchora. So mi mambo ya mtandaoni hapana.
anhaaaa nimekuelewa southernNdo uamini sasa mm mukee ya mgangaaaHapa sasa tumepoteana mke wa mganga
Ngojaaa nimtafutee shemej wapi amecommentMambo ni fireeeee
Nasubiria na mimi siredi yangu.Shem

Wakati tunaishi mara moja tuhongera mkuu,ukipata chance we jilie vyako tuu maisha yenyewe yako wapi
Sikua nimeona shemMbona nilishakuja shem
Ndo uamini sasa mm mukee ya mgangaaa
ntakuwezea wapi malkia wa kilingeAanze kwanza bwana. Leo nina mood ya kuelezewa kupendwaMuanzishie wewe shem wetu
![]()
![]()
ntakuwezea wapi malkia wa kilinge




hakuna kama mm nimewezaa kumlogaaa mgangaaa makubwaaaa yanipasaa nipate tuzooo