Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Bby upo wap njoo hukuHaha sio vizuri nipe tu linisaidie kumuelewesha
Bby upo wap njoo hukuHaha sio vizuri nipe tu linisaidie kumuelewesha
Dogo komaa hapa hapa wewe,,,mbona kuna wakina tukinao kibao hapa wanatafuta viben 10?![]()
![]()
![]()
![]()
Mnajua kuumiza roho za watu ngoja niende hospitali nahisi kichwa kinauma...![]()
![]()
Napigania haki yangu...![]()
Mstake n'chekeSitakiiii umenibia me nilikuwa nakaribia kukubaliwa sitakiii naenda kukusemea kwa mamaa...![]()
![]()
Haayaaaa mndaliKesho nitakufundisha
Hivi upooo
Wooooooiiiiiiiii usitafute vitanataka niwe highest shareholder nimiliki mzigo mimi. Ubaya ubaya tuu 😀😀😛
Mimi apa,naona jf imechafuka twenzetu kwetuBby upo wap njoo huku
Cheka tu bibie uongeze siku za kuishiMstake n'cheke
We ukicheka sisi " tunaria "Mstake n'cheke

We ukicheka sisi " tunaria "Mstake n'cheke

Acha tu wachafukwe...sisi hapa nikubebishana tuMimi apa,naona jf imechafuka twenzetu kwetu
Mkuu ule uzi wa " Kibuti" hauhusiki huku?Acha tu wachafukwe...sisi hapa nikubebishana tu
Leo mambo ni hivi
Hongereni jj na hazard
Muelewe tuuuuSijui na mimi nikuelewe?
I mic u my loveAbee
UsicheleweSijui na mimi nikuelewe?