Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Sina bahat kabisa yaanUtakuwa na bahati ya .......
Sina bahat kabisa yaanUtakuwa na bahati ya .......
Ukishindwa uniambie nkusaidieYupo humuhumu anazurura,namlia timing tu nimfungukie
Sawa kakaShukran mkuu..si unajua huko mpiran wamenichafua gafla nikapoozwa huku,,huyu mtot anaakili kubwa sana
Ameni ameni,naomba untambulishe wifi angu plzHeeee leo mambo ni
Fayaaaaa kila sehemuuu
Hii couple naikubali sanaaa pia
Mungu awajaliiye mfike mbali
Wazungu wanasema siko moja nitafanikiwaSina bahat kabisa yaan
Wakati mjamzito nilikua nazinywa balaa. Ilinichukua muda sana kuziachaHahaha hujawah kuzijaribu au zinachangamsha mapema


Mpaka nakosa maneno ya kumwambia,kungekua na neno jingine tofauti na nakupenda ningelisema ili niweke mkazo zaidiHuku kwema leo nashuhudia mapenzi mubashara
Paza sauti ajue ni jinsi gani unampenda
Ntafsrie na mimiYan ndio nimetoka kwa kanji hapa kutafasiriwa
Watakuwepo ila wanaogopa kukufungukiaLeo mmeamua ina maana hakuna alienidondokea kwel mim?
Acha kumvunja moyo mwenzioUtakuwa na bahati ya .......
Nakupenda wewe bby ake jj
Lipo ila sikuambii maana ukilitumia atasema umefundishwa kulisemaMpaka nakosa maneno ya kumwambia,kungekua na neno jingine tofauti na nakupenda ningelisema ili niweke mkazo zaidi
Hata castle lite hutaki?Niko nazo hapaSafari sizitaki kabisa
Yan zile ni ugonjwa wangu nikiwa mtaani..ila nikienda huko duniani ndio napiga Heineken kupoteza tu pesaWakati mjamzito nilikua nazinywa balaa. Ilinichukua muda sana kuziacha![]()

Cheko hiloo
Heineken tu mie na vikali. Hizo nyingine labda niende sehemu hamna kabisa nachokunywaHata castle lite hutaki?Niko nazo hapa