Hayo ni mambo ya kiswahili au..........?

Indume Yene

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
2,926
1,225
Jamani nilikutana na hizi frame za picha kwenye duka moja kubwa nchi fulani.
Wadau sijui hapa mnasemaje!!
 

Attachments

  • photo.JPG
    File size
    1.8 MB
    Views
    186

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,596
2,000
hii brand naifahamu almost 15yrs sasa nakumbuka wakati napiga boli miaka ya tisini nilikuwa na uzi mmoja matata sana ukiwa na chapa hiyo ya mikasa. sidhani km ni kiswahili.
 

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
2,000
hii brand naifahamu almost 15yrs sasa nakumbuka wakati napiga boli miaka ya tisini nilikuwa na uzi mmoja matata sana ukiwa na chapa hiyo ya mikasa. sidhani km ni kiswahili.

hicho ni kijapani, ni kweli hao jamaa ni wataalamu mno wa kutengeneza mipira (football), tumeicheza sana hiyo mipira
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
Mgirik Mambo Hayo Jamii Photos 15
Nguvu moja Mambo ya Sangoma hayo... Jamii Photos 7
Nguvu moja Mambo ya Sangoma hayo... Jamii Photos 71
MAHENGE JR Mambo ya bongo movie hayo Jamii Photos 101
W Mambo ya ekotite hayo Jamii Photos 22

Similar Discussions

Top Bottom