Hayo ni mambo ya kiswahili au..........?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Jamani nilikutana na hizi frame za picha kwenye duka moja kubwa nchi fulani.
Wadau sijui hapa mnasemaje!!
 
Attachments

  • photo.JPG
    photo.JPG
    567.1 KB · Views: 188
hii brand naifahamu almost 15yrs sasa nakumbuka wakati napiga boli miaka ya tisini nilikuwa na uzi mmoja matata sana ukiwa na chapa hiyo ya mikasa. sidhani km ni kiswahili.
 
hii brand naifahamu almost 15yrs sasa nakumbuka wakati napiga boli miaka ya tisini nilikuwa na uzi mmoja matata sana ukiwa na chapa hiyo ya mikasa. sidhani km ni kiswahili.

hicho ni kijapani, ni kweli hao jamaa ni wataalamu mno wa kutengeneza mipira (football), tumeicheza sana hiyo mipira
 
Back
Top Bottom